Hivi why watawa au mapadre wako exempted kutoa sadaka? Mi sijui sababu na probably hata kwenye Biblia haimo

Kanisan kuna mtu anawaforce watu kwa kuwafata watoe sadaka hii nayo ni mpya
Toa sadaka siumeenda mwenyewe kwa hiari? ulifuata nini kanisani au lifuatwa nyumbani na Padre? Padre aache kununua bia atoe sadaka na wakati kuna majiga yatakuja j2 kutoa hela ambayo haina kodi? Kumbuka ili uwe Padre lazima uwe na Master degree na kuendelea na siyo kuunga unga mara certificate sijui diploma jomba. Acha watu wale bia wakati wanasoma wewe unaendesha bodaboda.
 
Sasa na wewe si uombe uwe mtawa ili usitoe hiyo sadaka!!
 
Sio kutoa sadaka tu, Hao ni watumishi wa Mungu na wanatumikia taasisi zinazotambulika na Serikali na wanalipwa posho mishahara na marupurupu, wao pamoja na taasisi zao wanapaswa kulipa kodi za Serikali Kama wengine.
 
Kwa mawazo yako hayo mahali unapoabudu siyo sahihi kwako, hata hivyo ukijinyenyekeza patakufaa.
 
Wao wenyewe ni sadaka tayari, walishajitoa maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…