Hivi why watawa au mapadre wako exempted kutoa sadaka? Mi sijui sababu na probably hata kwenye Biblia haimo

Hivi why watawa au mapadre wako exempted kutoa sadaka? Mi sijui sababu na probably hata kwenye Biblia haimo

Toka agano la kale, walawi ndio walikuwa makuhani, na ndio waliokuwa na haki ya kula sadaka inayotolewa kwa Mungu.
Uko sawasawa. Wao hawakugawiwa ardhi wala chochote wzlipotoka utumwani misri, kazi yao ni ukuhani
 
Tuseme watu wagome kutoa sadaka, hao watu watakula nini? Mimi huwa nawaita "toa ndugu". Kana kawimbo kanasema "toa ndugu, toa ndugu, ulicho nacho kwani bwana anakuona mpaka rohoni mwako" ni mkwara ili utoe sadaka.
 
Back
Top Bottom