Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Siyo rift ni lift.Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
Polisi pia hawalipi nauli kwenye mabasi, haya mambo yapo kulinda heshima ya kundi fulani.