Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Kwani mkuu; ulitaka watoe sadaka ya namna gani? Kumbuka sadaka sio fedha tuu. Hata maisha yako, muda wako, kipaji chako na zaidi moyo wako vyaweza kuwa ni sadaka nzuri na ya thamani kubwa zaidi ya fedha. Ni bahati mbaya sana sana waumini wanadhani sadaka ni fedha.Tatizo la watz hatufanyi utafiti. Ni kanisa la tz tu ndio mapd na watawa hawatoi sadaka! Sogea tu hapo Kenya uone! Sisi ni wanafiki kujifanya eti hawana vipato jambo ambalo sio kweli!