Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Siyo rift ni lift.Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
Weka andiko la Biblia kuthibitisha hiloJibu lipo obvious kabisa. Wameshajitoa sadaka wenyewe.
Bibi aniandalie pilau na nyama ya bataKaribu sana Parokia ya Mt. Maximilian Maria Kolbe hapa Mwenge uje kunitembelea
Nipo kwa ajili ya sikukuu ya Chritsmas. Ikiisha tu, nitarejea Parokiani kwangu huko Lushoto Tanga.
Wahumini!Yale yale ya mchungaji akitaka gari anachangiwa ila wahumini wanaombewa
Ni kama wewe una mume wako then unaenda kugongwa na boda au house boy wako mpaka unalia kwa UTAMU.Kutooa ni kiini macho. Wanaginga daily na kugongwa kila siku
Kwa mujibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume Walei (yaani sisi) ndio tunaotakiwa kutoa sadaka na kufunga Kwaresma. Hii niliipata nilipohudhuria Nyumba ya Malezi Bigwa Morogoro miaka hiyooooo nikifikiri naweza kuwa "Father"! Ahahahahaha!!!Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
suWeka andiko la Biblia kuthibitisha hilo
Ndio alitoa pamoja na kutoa uhai wake kama sadaka kwa wanadamu aliwalisha vyakula maelfu bure kwa gharama zake sio za kanisa au sunagogiYesu alikuwa anatoa sadaka?
su
Kujitoa kwao kimwili na kiroho tayari ni sadaka tosha sana.Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
😂😂😂hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
Karibu parokia ya Rangwi fatherKaribu sana Parokia ya Mt. Maximilian Maria Kolbe hapa Mwenge uje kunitembelea
Nipo kwa ajili ya sikukuu ya Chritsmas. Ikiisha tu, nitarejea Parokiani kwangu huko Lushoto Tanga.
Dah! Mkuu, kama huitambui sadaka yao ya mwili na roho, na unaona ni kero kwako kutoa sadaka, unashauriwa usiende kutoa sadaka na ikikupendeza hata kwenye ibada zao ambazo zinahusu kipengele cha kutoa sadaka usihudhurie. Yan kuwa huru kabisa - hulazimishwi kuhudhuria, kutoa sadaka au kujihusisha kwa namna yoyote ile na mambo yao. Waachie wenyewe mambo yao.Sadaka gani. Kutoa ndo excuse? Mbona wengi hatujaoa na tunatoa sadaka. Aftet all vile viapo vyap ni ungo. Eti umaskini kumbu wakimaanisha utajiri