Kwani mkuu; ulitaka watoe sadaka ya namna gani? Kumbuka sadaka sio fedha tuu. Hata maisha yako, muda wako, kipaji chako na zaidi moyo wako vyaweza kuwa ni sadaka nzuri na ya thamani kubwa zaidi ya fedha. Ni bahati mbaya sana sana waumini wanadhani sadaka ni fedha.Tatizo la watz hatufanyi utafiti. Ni kanisa la tz tu ndio mapd na watawa hawatoi sadaka! Sogea tu hapo Kenya uone! Sisi ni wanafiki kujifanya eti hawana vipato jambo ambalo sio kweli!
Mkuu; Kwani kwenye mataa ndio kituo rasmi cha waombaji??Na mlivyo mazuzu mtu akitaka kuwasanau kuwa mnapigwa, mnakimbilia kuwatukana kobazi,
Nikweli Watawa wanaendesha magari ya maana sana,na wakiwa kwenye mataa masikini wakiwasogelea kuwaomba wanapandisha vioo vya magari haraka
Mkuu inaonekana huyo unayejaribu kumfafanulia au kumjibu ni mlalamikaji mbobezi kwani hajasema kama walimlazimisha atoe sadaka au la. Huku kwetu umasaini ndanindani huku msimamizi akifika kwenye mstari unakuhusu mtu hasimami i.e. haendi kutoa sadaka au majitoleo husika na hakuna watakachomfanya. Sadaka ni hiari ya moyo wako sio lazima. Ni bora zaidi ukienda kustarehea fedha yako kuliko kutoa huku unalalamika. Hiyo sadaka haina maana yoyote. Hivi watu wanashindwa kujiulishajiuliza kwamba Mungu anataka fedha gani dollar, yuro, dinari au Tzs? ya nini? Kwani mnadaiana na Mungu? Usitoe sadaka huku unanung'unika kana kwamba unamhonga Mungu. Kaa na hela yako Mungu hahitaji hela yako bali ni Roho yako.Siyo rift ni lift.
Polisi pia hawalipi nauli kwenye mabasi, haya mambo yapo kulinda heshima ya kundi fulani.
Sadaka gani. Kutoa ndo excuse? Mbona wengi hatujaoa na tunatoa sadaka. Aftet all vile viapo vyap ni ungo. Eti umaskini kumbu wakimaanisha utajiri
Kama watu watu WANAOMPIGIA show na kuzalisha nje ya ndoaUkiweza kuishi Kwa Ku-avoid sex then ukaamua ule muda wa kufanya na kuwaza sex ufanye mambo mengine productive ya dini Kama kufunfisha na kuhudumia kanisa , basi hiyo ni sacrifice kubwa .
Japo wapo mapadri ambao wana watoto kimyakimya .
Useja wapi bwasheee....watu adi wanawatotoWAO WENYEWE NI SADAKA KUBWA WAMETOLEA MAISHA YAO KWA NADHIRI, AHAADI ZA USEJA KUTOOA WALA KUOLEWA!!!
Wanatumia ignorance yetu na ndiyo maana kwenye ibada huwa hawatoi nafasi ya kuuliza maswaliNimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
Kwani una akiliSi wanajua hatuna akili
Bado tu un a mawazo mgando kama hawaoi wala hawaolew kuumanisha wako vigin haaaaWAO WENYEWE NI SADAKA KUBWA WAMETOLEA MAISHA YAO KWA NADHIRI, AHAADI ZA USEJA KUTOOA WALA KUOLEWA!!!
Nitaftie kifungu chochote kwenye bible ambacho kinaonyesha Yesu au wafuasi wake wakitoa sadaka.Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
hao hawana vipato maana hawalipwiNimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
Sahivi ghafla umekuwa chawa wa MboweKwani una akili
Kama unasoma bible ni wapi makuhani waliamriwa kutoa sadaka? Walikuwa hawana mali wala Mashamba wala mifugoNimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
Tofauti na wale sasa hivi mapadrea au watawa wana mali nyingi na wanahonga balaa huku mtaani mpaka mabinti wanasema ukimpata padre umeagana na umaskiniKama unasoma bible ni wapi makuhani waliamriwa kutoa sadaka? Walikuwa hawana mali wala Mashamba wala mifugo
Inaonekana huelewa kabisa masuala haya ya imani:Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama sisi.
Huu unyonyaji jamani mpaka kanisani!
Halafu hawa watawa wanaendesha mikoko ya maana mitaani na ukiwaomba rift hawakupi.
Toka agano la kale, walawi ndio walikuwa makuhani, na ndio waliokuwa na haki ya kula sadaka inayotolewa kwa Mungu.Kama unasoma bible ni wapi makuhani waliamriwa kutoa sadaka? Walikuwa hawana mali wala Mashamba wala mifugo
Ngoma imekaa kimkakati Sana.Benchi kwa benchi mkuu, usipokuwa na hela, ni heri usiende kanisani ni aibu.