Hivi why watawa au mapadre wako exempted kutoa sadaka? Mi sijui sababu na probably hata kwenye Biblia haimo

Sadaka gani. Kutoa ndo excuse? Mbona wengi hatujaoa na tunatoa sadaka. Aftet all vile viapo vyap ni ungo. Eti umaskini kumbu wakimaanisha utajiri
Kutokuoa kwako hakukufanyi uwe wakfu kama wao
 
Ndiyo. Kwani hao ndo mungu anawatambua tu mimi hanitambui? Au hao ndo wanamshikilia Mungu
Hujui maana ya ibada acha kubwabwaja, huwezi kama unaweza Baki nyumbani ifanye mwenyewe au fungua kanisa
 
Toka agano la kale, walawi ndio walikuwa makuhani, na ndio waliokuwa na haki ya kula sadaka inayotolewa kwa Mungu.
Uko sawasawa. Wao hawakugawiwa ardhi wala chochote wzlipotoka utumwani misri, kazi yao ni ukuhani
 
Tuseme watu wagome kutoa sadaka, hao watu watakula nini? Mimi huwa nawaita "toa ndugu". Kana kawimbo kanasema "toa ndugu, toa ndugu, ulicho nacho kwani bwana anakuona mpaka rohoni mwako" ni mkwara ili utoe sadaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…