KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
- Thread starter
- #21
asalale mkuu hivyo hayapo ni hadithi tu..?Mambo ya
"jamaa alichukuliwa kutambulishwa ukweni kwa mtumbwi Ila walipofika katikati ya ziwa, mwanamke akawaambia ameshafika, akatupa mabegi ziwani lakini maji yakapasuka, zikatokea ngazi. Walipoingia kule chini kuna mji mkubwa na Mzuri kuliko huku duniani" 😁
Sasa hivi vi akina eva si vitaniua!..😅