Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu!.
Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can loose your soul!, they are very dramatic and confused!.
Nasikia ni watamu alafu full ushirikiano kitandani, kila la kheri mkuu
 
Ngoja ya kuingie ndio utajua hujui,hakuna mwanamke utatongoza akakukubali,na akikukubali ujue hutadumu naye na ukidumu naye lazima yalete visa visa, unaweza ukawa unazaa watoto mazombie.Yatakubana kila kona,ulikuwa unakunywa hayataki unywe,kama ndio mpenzi wa kitimoto itabidi usahau,kama ulikuwa mtu wa Bwana asifiwe huko hayataki,yakishanogewa na wewe yataanza kudai uhai wako.Maisha ya kuchoka hovyo na hata kushindwa kufanya kazi itakuwa sehemu ya maisha yako....
 
Back
Top Bottom