Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

asalale mkuu hivyo hayapo ni hadithi tu..?
Sasa hivi vi akina eva si vitaniua!..๐Ÿ˜…
 
asalale mkuu hivyo hayapo ni hadithi tu..?
Sasa hivi vi akina eva si vitaniua!..๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ siwezi nikasema hayapo maana kwa waswazi kushuhudia watu wakipandisha majini ni experience ya kawaida kuona.

Kuhusu wakina eva.. Tafuta wa level yako tu na anaekupenda. Waliobaki ni mahusiano ni biashara ๐Ÿ˜
 
Pole sana mkuu.
 
Mkuu level zote nimechakaza na nimechazwa sasa nilivakiza level moja tu na ndio hiyo nayo imenichakaza mpaka nimeyakumbuka majini!
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mara akaingia gheto na mtoto mkali akamwambia zima taa upande kitandan , yule dada akanyosha mkono ukawa mrefu akazima taa, jamaa akazimia palepale๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ