Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

Nasikia ukiliambia libadilike liwe rihanna au beyonce
Chap tu li najibadilisha unakula mzigo!
 
Kweli kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake, na sasa ni zamu ya Komwe.
Poleee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado zamu yako..😅
 
Kwamba lengo lako unatafuta utamu wa kufinywa kwa MBELE na uisikie radha isiyokuwepo kwenye uhalisia, mnasumbuka na unyabezi wa GENTAMYCINE , mkiambiwa muoe hamtaki.
 
Mcheki Z Anto
 
we nae lioga sana!
Wewe hujui hizo story zinavyotisha kama umesoma boarding school utaelewa… yaani mimi ilikuwa ikifika muda wa kwenda chooni nachanganyikiwa hata nikijisaidia haja kubwa ni kama nakimbizwa narukaruka chooni 🤣
 
Wewe hujui hizo story zinavyotisha kama umesoma boarding school utaelewa… yaani mimi ilikuwa ikifika muda wa kwenda chooni nachanganyikiwa hata nikijisaidia haja kubwa ni kama nakimbizwa narukaruka chooni 🤣
Hata kama mkuu ndo ujipupuu...🤣
 
Hata kama mkuu ndo ujipupuu...🤣
Uoga mkuu yaani nilikuwaga muoga mno
Nakumbuka kuna tukio fulani lilitokea I think mwaka 2010 kuna mwanajeshi alimchomaga visu mke wake mpk kufa na watoto wakashuhudia kwaiyo baada ya msiba kuisha na ndugu kutawanyika ile familia ikawa haina wa kukaa nao na sisi tulikuwa family friend wakaniomba mimi nikawape kampan haswa kulikuwa na mdogo wao lastborn alikuwa na miaka 5 halafu mimi hapo na Miaka 11, basi walikuwa wanaogopa kuingia ndani kwenda chooni halafu choo kilikuwa nnje kinaangaliana na kaburi la mama yao🥹
Huwezi amini walikuwa wananiona kama mimi ndio mtu Mzima wao watoto wakati walikuwa wakubwa hata kunizaa yaani ilikuwa ni kukimbizana nilitesekaa mno kwa uoga.. nilikuwa nahisi yule mama ananitokea 🤣🤣🤣
 
kazi ipo!
 
Tulipangwa sana zamani aisee 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…