Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maisha ya miaka hii, hilo ni jambo la kawaida kabisa kutokea.Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
Mjomba usiwe umefanya jambo li sio sahihi na kusingizia hedhi[emoji1787]Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
Kizibo 🤔Mama yake amemkagua leo asubuhi kaniambia kizibo bado kipo sijaelewa
😂😂Mjomba mimi hawa naishi nao mbali mbali mpaka navyoandika hapa nimeenda kuwachukua nyumbani baada ya hatua zote za ukaguzi kufanyika asubuhi kuthibitisha hajabakwa ngoja twdnde hospital kujiridhishaMjomba usiwe umefanya jambo li sio sahihi na kusingizia hedhi[emoji1787]
Hedhi si darasa bali umri na afya ya mtotoNaomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
Mjomba asante kwa ushauri mzuri ila kula embe kwa chumvi kwetu mwiko ntatoka madonda ya ulimi.Usije kuwa unataka kula embe kwa chumvi subiri liive mkuu ! 🤣 Binadamu tushakua wabaya siku hizi
Anyway ni kawaida kwa balehe kuanza miaka 8-13 kwa wasichana na 9-14 kwa wavulana. Kwa hiyo huenda mpwa ndo tayari hivyo, kwa hiyo mwali aende akachezwe afundishwe namna ya kujitunza , kama ni familia ya kisasa mpeni elimu kwa njia mtakayoona inamfaa.