[emoji23][emoji23]Mjomba mimi hawa naishi nao mbali mbali mpaka navyoandika hapa nimeenda kuwachukua nyumbani baada ya hatua zote za ukaguzi kufanyika asubuhi kuthibitisha hajabakwa ngoja twdnde hospital kujiridhisha
Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
Kawaida Miaka kuanzia miaka 11,standard physiology
Ila Wapo wa miaka 7 pia
sababu ya:-
Mavyakula ya kibloiler yanayoongeza steroids na malezi ya kimama,yanachochea sana hormone productions