Hiyi hali inatokana na nini nikiwa mbali nae hujikuta namuwazia sana mpaka roho inauma

Nimependa ushauri wako ila nishakosea hayo uliyoyasema nimeshayafanya nimemwmbia bila yy mi so chochote dah kumb nimehalibu mkuu nifanyaje sasa?
Mkuu,wanawake hawafanani kitabia au naweza kusema Binadamu tunatofautiana,

Kuna wanawake akijua unampenda sana au huwezi kuishi bila yeye,huanza dharau fulani hivi,kama mkeo anakuheshimu na kukupenda,basi hakuna shida,ila jaribu kucontrol hisia zako juu yake,

Pia kama unampenda kweli,achana na mambo ya michepuko,angalia familia yako na future ya wanao,usije ukaharibu maisha yako yote kwa starehe ya madakika tu.
 
Kakuroga.
 
TAFUTA KAZI WW.

Huko wahuni wanakusaidia kumchakata na ww tafuta wa kuchakata.

The pussy is not yours, wait till your turn
 
Kwa hiyo ukijikausha bila kumtafuta,yeye hua hakutafuti?

Una umri gani? tuanzie hapo kwanza.
Kwanza tuanzie kwenye umri...Nawasi penzi bado jipya japo sina hakika anaongelea mke ama lah...
Ila akishakutana na kitu kizito ndipo atakomaa na kuwa na moyo wa chuma
 
Hakuna kitu kibaya walisema kupenda ni maradhi ndio haya sio dhambi kumpenda mkeo na ni marachache hutokea watu wakapendana sana
We mpende tu na unavohis ndio uhalisia wa mapenzi moyo hupenda sehemu unapotunzwa

Watu wa humu wako kukatishana tamaa usikute wanapewa had chupi za wakezao na wanafua wanajifanya majemedari hapa 🤣🤣🤣
 
"Hiyi" ndiyo nini?

Maana umekazania hiyi hiyi utadhani wewe ni mkimbizi kutoka Burundi usiyejua Kiswahili.

Hata hivyo unaonekana mshamba wa mapenzi.

Mwanaume unakaa kumuwaza mwanamke kweli?

Nani alikudanganya wanaume wanapenda mazima mazima?

Mwanaume unaingia kwenye mahusinao mguu mmoja ndani mwingine nje just in case.
 
Ukiona hivyo ujue anapigwa pipe..😜
Jiongeze...😶
 
Naombeni site ya kudownload full movie free za makampuni ya movie kama universal pictures
 
Ushakula vya unyagoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…