The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu,wanawake hawafanani kitabia au naweza kusema Binadamu tunatofautiana,Nimependa ushauri wako ila nishakosea hayo uliyoyasema nimeshayafanya nimemwmbia bila yy mi so chochote dah kumb nimehalibu mkuu nifanyaje sasa?
Kuna wanawake akijua unampenda sana au huwezi kuishi bila yeye,huanza dharau fulani hivi,kama mkeo anakuheshimu na kukupenda,basi hakuna shida,ila jaribu kucontrol hisia zako juu yake,
Pia kama unampenda kweli,achana na mambo ya michepuko,angalia familia yako na future ya wanao,usije ukaharibu maisha yako yote kwa starehe ya madakika tu.