Hiyi hali inatokana na nini nikiwa mbali nae hujikuta namuwazia sana mpaka roho inauma

Mkuu sometime dah we acha tu msije mkaniona mwanaume wa hovyo
 
Inaonekana mleta mada,katika makuzi yake,hakua na mambo ya kupenda wanawake.
Hili ni kweli nakumbuka mchumba wa kwanz niliwah mfuma analiwa nikaishi kumuangalia na sikumwambia lolote ila huyu wa sasa too much nampenda hadi najishangaa
 
TAFUTA KAZI WW.

Huko wahuni wanakusaidia kumchakata na ww tafuta wa kuchakata.

The pussy is not yours, wait till your turn
Kuchakatwa kawaida mwenyewe hapa nilipo Nina manz kama 5 HV zinanipeti balaa na vile pesa ya mshshara imetoka na ya kubet zimeungana basi burudan ila sasa naongelea kupenda, hisia ,kumuwaza
 
Mkuu kwanini uishi mbali na mkeo?

Pili huo ndyo upendo na ndyo nature ya Upendo ulivyo .Badala ya kulaumu ilitakiwa ufurahie hako ka feeling ka upendo na muunganiko wenu.Kwanini unataka kuresist feelings za Upendo.Zifurahie mzidi kuzaa watoto wema muwalee.

Tatu achana na hizo habari za kusaliti mkeo,Shetani hutumia mwanya huo huo kuharibu ndoa.
 
Nimependa ushauri wako ila nishakosea hayo uliyoyasema nimeshayafanya nimemwmbia bila yy mi so chochote dah kumb nimehalibu mkuu nifanyaje sasa?

[emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
 
Kaka majukumu ya kiserikali so inanilazimu wife aachwe home na ujana huu ndio fired😝😝
 
Pole, ila wakati mwingine ni upungufu wa kipato. Unaona pengine ndie mwanamke anae kuvumilia kwenye shida unazopitia au changamoto fulani za maisha kwahiyo unajikuta unakuwa na hisia nyingi sana. USHAURI: Punguza kuwaza sana kuhusu mwanamke. Tafuta pesa na yeye atakupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…