Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee,hongera sanailitokea hii nilikuaga nakomaaa.. mtu unamuwaza hadi moyo unaanza kuuma, alafu unajikuta down kabisaaa.. na siku inaishia hapo..
Mkuu sometime dah we acha tu msije mkaniona mwanaume wa hovyoMkuu,wanawake hawafanani kitabia au naweza kusema Binadamu tunatofautiana,
Kuna wanawake akijua unampenda sana au huwezi kuishi bila yeye,huanza dharau fulani hivi,kama mkeo anakuheshimu na kukupenda,basi hakuna shida,ila jaribu kucontrol hisia zako juu yake,
Pia kama unampenda kweli,achana na mambo ya michepuko,angalia familia yako na future ya wanao,usije ukaharibu maisha yako yote kwa starehe ya madakika tu.
Hili ni kweli nakumbuka mchumba wa kwanz niliwah mfuma analiwa nikaishi kumuangalia na sikumwambia lolote ila huyu wa sasa too much nampenda hadi najishangaaInaonekana mleta mada,katika makuzi yake,hakua na mambo ya kupenda wanawake.
Kuchakatwa kawaida mwenyewe hapa nilipo Nina manz kama 5 HV zinanipeti balaa na vile pesa ya mshshara imetoka na ya kubet zimeungana basi burudan ila sasa naongelea kupenda, hisia ,kumuwazaTAFUTA KAZI WW.
Huko wahuni wanakusaidia kumchakata na ww tafuta wa kuchakata.
The pussy is not yours, wait till your turn
Unaonekana Una tatizo la bawasiri...mtafute dokta Mwaka fasta
Nimependa ushauri wako ila nishakosea hayo uliyoyasema nimeshayafanya nimemwmbia bila yy mi so chochote dah kumb nimehalibu mkuu nifanyaje sasa?
Kaka majukumu ya kiserikali so inanilazimu wife aachwe home na ujana huu ndio fired😝😝Mkuu kwanini uishi mbali na mkeo?
Pili huo ndyo upendo na ndyo nature ya Upendo ulivyo .Badala ya kulaumu ilitakiwa ufurahie hako ka feeling ka upendo na muunganiko wenu.Kwanini unataka kuresist feelings za Upendo.Zifurahie mzidi kuzaa watoto wema muwalee.
Tatu achana na hizo habari za kusaliti mkeo,Shetani hutumia mwanya huo huo kuharibu ndoa.
Pole, ila wakati mwingine ni upungufu wa kipato. Unaona pengine ndie mwanamke anae kuvumilia kwenye shida unazopitia au changamoto fulani za maisha kwahiyo unajikuta unakuwa na hisia nyingi sana. USHAURI: Punguza kuwaza sana kuhusu mwanamke. Tafuta pesa na yeye atakupenda.Wakuu nimepatikana hata kama Ni kupenda hiyi Ni too much
Iko hivi Nina mpenzi nimezaa nae Mara ninaposafiri kuwa mbali na yeye zikipita siku tatu hujikuta namuwazia sana
Na nikiendelea kujikausha nisimtafute hujikuta roho inaniuma sana Ila nikimtafuta tukaongea basi nakuwa na amani
Kuna wakati nilisafiri nikapoteza simu na nilikokuwa kulikuwa hakuna social network ikanibidi nikae bila mawasiliano nae kwa miez
A see nilipata shida sana nikilala usiku ndoto ninazoota ni yeye
Jaman hisia za mapenzi zinanguvu kwangu pesa sio shina na nikitua sehemu wanawake ndio huni approch bas nikajaribu kutongoza wanawake wengine kulala nao lakini wapi, inafikia hatua nagonga bia ili kumfuta kichwan lakin nimeshindwa japo yeye ananipenda kuliko hata mm nimejiridhisha kwenye hili
Wakuu hivi hiyi hali inatokana na nini na nini nifanye maana ye ni binadamu kuna Leo na kesho