Nasubiri majibu mbona hunipi majibu???Ukitohoa wafilisti unapata wapelestina? Kweli wewe umechanganyikiwa๐๐๐๐๐๐
Wapelestina ni wapelestina na wafilisti ni wafilisti na itabaki hivyo siku zote๐๐๐๐
Kama hawamshabikii Yesu au hawaujui ukristo. Unataka nianze kuwachukia kwasababu ya udini wako?๐๐๐๐๐
Mbona wewe humjui Yesu wala haushabikii ukristo? Kwahiyo nawe nikuchukie๐๐๐๐๐๐
Lete hoja zingine. Ni sawa na waarabu wanaotukana watu makafiri lakini 98% bidhaa wanatumia za makafiri
Israel alifuata nini Syria,Lebanon na Egypt?
Syria kateka Gollan heights,Egypt aliteka Sinai akapokonywa na Lebanon aliteka Bint jubeir akapokonywa asa huko kote nako kunamuhusu nini Israel??
Nasubiri majibu tafadhali.