UAMSHO hawakua magaidi.Magaidi siyo wa kucheka nao. Ukicheka nao utavuna mabua Hapa Tanzania baada ya kikundi cha waaislamu cha UAMSHO kuwekwa ndani Tanzania ikawa salama.
Kuwekwa kwao ndani ni political motivated.
Magufuli alipoingia aliamuru watolewe maana hawakukua na mashtaka yanayoeleweka.
Pia hao hamas sio magaidi,magaidi halisi ni Israel inayovamia maeneo ya watu na kuvunja nyumba za watu na kuwatia jela za watu wazima watoto umri chini ya miaka kumi.
MTOTO WA MIAKA KUMI ANAELEWA NINI MPAKA UNAMTIA GEREZANI??
Hiyo october 7 isingetokea kama Netanyahu asingegawa silaha kwa settlers august ili wawasumbue wapalestina mashambani huko Occupied west bank.
Hivyo gaidi halisi ni USA na Israel kama kweli we umesoma na unaelewa maana ya ugaidi.
Kama hujasoma au hujui sema tukufundishe.