Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Ndio maana tunakwambia Marekani lazima ailinde israel maana anajua anafaidi teknolojia ya myahudiMbona anailinda na Saudi Arabia? Kila kitu ni maslahi, unatafuta mshirika kwenye maeneo ya kimkakati.
Huko Nyuma Israel aliwahi ivamia Misri na kukalia kimabavu eneo la Sinai. Ila kwa kuwa Egypt naye alikua mshirika wa USA na pia eneo lilikua la kimkakati maana Suez Canal inapitisha meli za wamarekani ikabidi ampe order Israel aondoe majeshi otherwise mpaka leo sinai nzima ingekua chini ya Israel.
Politics is a game of interests, hata Saudia inafadhili vikundi vya waasi maeneo mengi ila USA anamchekea sababu anamhitaji kimkakati same to Israel.