Hizbulah wabomoa kamera za Israel huku washirika wake wakizidi kukasirika

Hizbulah wabomoa kamera za Israel huku washirika wake wakizidi kukasirika

Iran kwanini asimfanye Israel, kama Japan alivyofanywa na USA. Huyu Israel mbona anaonyesha kibri cha hovyo sana. Ingekuwa ni uwezo wangu ningemfuta kabisa kwenye uso huu.
Pole sana. Kwanza huyo Iran hana ubavu huo. Israel ni Taifa Takatifu haiwezi kupigwa na Taifa lolote hata liwe na nguvu kiasi gani.
 
Inaonekana hujapata habari za wapanda pikipiki 10 wa Hamas walivyozima technology supremacy ya Israel.Baada ya hapo wenzao wakaanza kazi krusha makombora na matrekta kubomoa kuta za zege ndipo vigari vyao vidogo vikaingia nchi nzima walipotaka na huko juu mvua ya makombora ikazizidi nguvu Iron dome.Hakuna mwenye nguvu na supremacy ya kweli dunia hii ukiamuacha muumba mwenyewe.
Endelea kuota ndoto za mchana
 
Pole sana. Kwanza huyo Iran hana ubavu huo. Israel ni Taifa Takatifu haiwezi kupigwa na Taifa lolote hata liwe na nguvu kiasi gani.
Taifa takatifu wanafirana na kusagana? Kuna jeshi la malaika lipo reserved kwa ajili ya Israel? Bila shaka nawe ni mmoja kati ya wale wanaobeba Maboga juu ya vichwa vyao....!
 
Tulieni mnachezewa mchezo mchafu na Israel, Hezbollah kundi dogo haliwezi kufanya chochote kwa Israel, . Hata kipindi Cha Entebe operation Israel wallijifanya kama wanashindwa kumbe ndo mbinu za kuovamia Uganda. Air supremacy ya Israel ni bira mara 10 kuliko ya Iran
Hii nimeiwaza pia
 
Jeuri ikizidi inafaa ukumbushwe kidogo kwmba duniani kuna jamii nyngi zenye haki sawa na ww tu....nchi za waarabu ilifaa wamstue kidogo tu Ili akae akijua hata kama una nguvu vp unaweza kutikiswa vilevile....na wakati ndio huu wa sasa
Rejea 6 days war waarabu ni wapumbavu tu wamepewa utajiri lakini hawana akili.
 
Iran kwanini asimfanye Israel, kama Japan alivyofanywa na USA. Huyu Israel mbona anaonyesha kibri cha hovyo sana. Ingekuwa ni uwezo wangu ningemfuta kabisa kwenye uso huu.
😀😁😁😁😁😁
Mwenyewe ningekuwa ndiyo Israel. Hicho kinchi cha magaidi (Palestina) ningekigeuza majivu.
Hii dunia ukilea magaidi, dunia yote inakuwa na vita.
  • Nigeria kuna Kikundi cha kiislamu cha magaidi boko haramu
  • Somalia & Sudan kuna Al shabab
  • Uganda kuna kikundi cha kiislamu cha kigaidi cha IDF, leo kilitaka kulipua makanisa
  • Pakistan kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu
  • Mozambique, kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu (Islamic state)
  • Gaza kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu HAMAS
  • Mali kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu
  • Lebanon, kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu Hezbollah
  • Sudan kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu
  • Libya, kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu
  • Syria kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu Islamic state (IS)
Vikundi vyote hivi vya kiislamu vinaua watu ovyo, kubaka, kulawiti, kuiba mali na n.k
Sipati picha Superpower angekuwa IRAN, kila sehemu ya nchi kungekuwa na vikundi vya kigaidi vya waislamu.
Huyo Iran hana muda mrefu, wanasubiri ajichanganye.
 
Iran kwanini asimfanye Israel, kama Japan alivyofanywa na USA. Huyu Israel mbona anaonyesha kibri cha hovyo sana. Ingekuwa ni uwezo wangu ningemfuta kabisa kwenye uso huu.
Ukishashiba kande zilizochacha haya ndy matokeo yake unajambajamba tu humu jamvini

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Israel imezidi kuonesha unyama wake na kibri kilichopitiliza ada kwa kukataa kufungua mpaka wa Rafah ili raia wa nchi rafiki zake waweze kuondoka Gaza.
Waziri wa mambo ya nje wa Misri amesema malori mengi ya misaada ya kibinadamu yapo mpakani tayari kuingia Gaza na upande wao uko wazi kwa misaada hiyo kuendelea na safari,tatizo upande wa pili ndani ya Gaza ambako Israel ndiyo yenye mamlaka wamekataa kufungua mpaka.
Sambamba na hilo raia waliokushanyika kwa msongamano mkubwa wa kibinadamu upande huo wa kusini ya Gaza wameendelea kupigwa kwa mabomu ya kutoka angani huku wakiwa hawana maji ya kutosha,chakula wala umeme
Upande wa kaskazini ya Israel kwenye mpaka na Lebanon wanamgambo wa Hizbulah wameziharibu kamera kadhaa za vituo vya kijeshi vya Israel ambazo kazi zao ni kuangalia harakati zote za kuvuka mpaka kutoka kusini ya Lebanon kuingia nchini humo.
Inavyoonekana kwa sasa Marekani imetishika sana na kiburi cha Israel ikiona kama kwamba itawaharibia maslahi yao pia.Hilo linaonekana katika nenda rudi ya wanadiplomasia wa Marekani kuzungumza na Israel kuhusiana na kiburi chake cha kujifanya hataki kumsikiliza yeyote.
Mshirika mwengine muhimu wa Marekani ambayo ni mlinzi wa Israel ni Saudi Arabia.Kuonesha kukasirika kwa mwanamfalme Mohammed Suleiman,alimuacha Antony Blinken kwenye ukumbi kwa masaa akimsubiri bila kutokea mpaka pale Blinken alipochoka na wala hakujitokeza kuzungumza naye ikabidi aondoke tu..
Endelea kujifariji.
Hao magaidi wa kiislamu wanapelekewa moto tu.
Lazima heshima iwepo. Unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia
 
Iran kwanini asimfanye Israel, kama Japan alivyofanywa na USA. Huyu Israel mbona anaonyesha kibri cha hovyo sana. Ingekuwa ni uwezo wangu ningemfuta kabisa kwenye uso huu.
Hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

Inafaa Kusoma

Bw. Netanyahu alisema:
Miaka 70 tu iliyopita! Wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo.
[emoji838] Miaka 60 iliyopita!
[emoji838] hakuna nchi. Hakuna Jeshi.

Nchi saba za Kiarabu zilitangaza vita dhidi ya dola hiyo ndogo ya Kiyahudi, saa chache tu baada ya kuundwa kwake!
[emoji838] tulikuwa Wayahudi 650,000 dhidi ya mamilioni mengi katika ulimwengu wa Kiarabu!

Hakukuwa na IDF yenye nguvu (Vikosi vya Ulinzi vya Israeli).

Hakuna jeshi la anga lenye nguvu la kutuokoa bali ni watu wa Kiyahudi wajasiri wasio na mahali pengine pa kwenda.
[emoji838]Lebanon, Syria, Iraq, Jordan, Egypt, Libya, Saudi Arabia zote zilishambulia kwa wakati mmoja.
[emoji838]Nchi ambayo Umoja wa Mataifa ulitupa ilikuwa ni jangwa 65%.

[emoji838] Miaka 35 iliyopita! Tulipigana na majeshi matatu yenye Nguvu zaidi katika mashariki ya kati, na tukayafagilia kwa siku sita.

Tulipigana dhidi ya miungano mbalimbali ya nchi za Kiarabu, ambayo ilikuwa na majeshi ya kisasa na silaha nyingi za Soviet, na sisi daima tumewapiga!

Leo tunayo:

[emoji838] Jimbo (Nchi)
[emoji838] Jeshi,
[emoji838] Jeshi la Anga lenye Nguvu,
[emoji838] Uchumi wa Hali ya Juu na mauzo ya nje yenye thamani ya mabilioni ya dola.
[emoji838] Intel - Microsoft - ibm na kampuni nyingi za teknolojia ya juu hutengeneza bidhaa za kisasa nchini Israeli
[emoji838] Madaktari wetu hupokea tuzo kwa ajili ya utafiti wa kimatibabu.
[emoji838] Tunafanya jangwa kuchanua, na kuuza machungwa, maua na mboga kote ulimwenguni.

[emoji838] Israel imetuma satelaiti zake angani!

[emoji838] satelaiti tatu kwa wakati mmoja!
[emoji838] Tunajivunia kuwa katika daraja sawa na:
[emoji838] Marekani, ambayo ina wakazi milioni 250,
[emoji838] Urusi, ambayo ina wakazi milioni 200,
[emoji838] China, ambayo ina wakazi bilioni 1.3;
[emoji838] Wazungu - Ufaransa, Uingereza, Ujerumani - yenye wakazi milioni 350.
[emoji838] nchi pekee ulimwenguni kutuma vitu angani!

[emoji838] na kusema kwamba miaka 60 tu iliyopita,
[emoji838] tuliongozwa, tukaaibishwa na kukosa matumaini, kuchinja!
[emoji838] tumepitia magofu ya uvutaji sigara ya Uropa,
[emoji838] tumeshinda vita vyetu hapa Israel bila chochote

[emoji838] tulijenga "Empire" yetu ndogo bila chochote.

Hamas ni nani wa kunitisha?
[emoji837] ili kunitisha?
[emoji837] unanichekesha!
[emoji837] Pasaka iliadhimishwa;

Tusisahau Pasaka ni nini:
[emoji837] tuliokoka kwa Farao,
[emoji837] tulinusurika na Wagiriki,
[emoji837] tuliokoka Warumi,
[emoji837] tulinusurika kwenye mahakama ya kidini nchini Uhispania,
[emoji837] tunayo mauaji nchini Urusi,
[emoji837] tulinusurika na Hitler,
[emoji837] tulinusurika na Wajerumani,
[emoji837] tulinusurika kwenye mauaji ya Holocaust,
[emoji837] tulinusurika na majeshi ya nchi saba za Kiarabu,
[emoji837] tulinusurika Saddam.
[emoji837] tutanusurika na maadui waliopo

Fikiria wakati wowote katika historia ya mwanadamu [emoji615]

Fikiria juu yetu, kwa ajili yetu, watu wa Kiyahudi,
[emoji841] hali haijawahi kuwa nzuri!
[emoji841] basi tukabiliane na ulimwengu,

Wacha tukumbuke:
[emoji840] mataifa yote, himaya au tamaduni zote
[emoji840] ambaye wakati fulani alijaribu kutuangamiza,
[emoji840] haipo tena leo - tungali tunaishi!
[emoji840] Misri?
[emoji840] Babeli?
[emoji840] Wagiriki?
[emoji840] Alexander wa Makedonia?
[emoji840] Warumi? (kuna mtu bado anazungumza Kilatini siku hizi?)
[emoji840] Reich ya Tatu?

Na tuangalie

[emoji838] Watumwa wa Misri,
[emoji838] Watu wa Musa
[emoji838] Taifa la Biblia,
[emoji838] Bado tupo hapa,

Na Kiebrania bado ni lugha rasmi ya Jimbo la Israeli leo:

[emoji626] tangu wakati wa Biblia na sasa!
[emoji626] Waarabu bado hawajajua,
[emoji626] lakini watajifunza kuwa kuna Mungu.
[emoji626] mradi tu tunahifadhi utambulisho wetu, tuko milele.

Basi tusamehe kwa kutokuwa na wasiwasi,
[emoji840] sio kulia,
[emoji840] kutoogopa.
[emoji840] Mambo ni sawa hapa.
[emoji840] bila shaka wangeweza kuwa bora,

Hata hivyo:
[emoji837] Usiamini vyombo vya habari,
[emoji837] hawakuambii mambo mengi mazuri kuhusu Israeli
[emoji837] sherehe zinaendelea kufanyika katika Israeli,
[emoji837] watu wanaendelea kuishi,
[emoji837] watu wanaendelea kutoka,
[emoji837] watu wanaendelea kuona marafiki.

Wengine wanadai ari yetu iko chini.
[emoji838] ili iweje?

Ni kwa sababu tu tunaomboleza vifo vyetu huku adui zetu wakifurahia damu iliyomwagika na vita.

[emoji838] ndio maana tutashinda, mwisho.

Mungu wa Israeli aliziumba Mbingu na Nchi.
Mlinzi wa Israeli hasinzii wala kulala! Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Sambaza hotuba hii kwa jamii nzima,
[emoji170] na kwa watu ulimwenguni kote.
[emoji171] ni sehemu ya nguvu zetu


Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Suala ni Kwamba
Kukaa na watu wetu 140 ni muhimu sana kwenu kuliko hiyo misaada, vifo na madhila mnayopitia si chochote, muhimu zaidi kwenu ni kukaa na hao watu wetu
Siku ambayo mtaona mahitaji yenu ni muhimu kuliko hao raia wetu basi mtatupatia raia wetu kwaajili ya mahitaji yenu

Hawa jamaa hawalegezi masharti
 
80% ya bajet ya jeshi la Israel ni msaada kutoka US.
Msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Israel haufiki hata 20% ya bajeti yao ya ulinzi. Kwahiyo less than 20% ndio inailinda Israel?

Mbona Egypt ndio nchi ya pili kwa kupokea msaada mkubwa wa kijeshi na bado haiwezi kuipiga Israel.

Mbona Hezbollah na Hamas wanapewa msaada na Iran na bado hawashindi.

Vita imewashinda mnalalamikia less than 20% ya bajeti. Hamas walipoanzisha huo msaada wa Marekani walikuwa hawauoni?
 
Hezbollah is a proper match to IDF compared to Hamas.

Sema support ya US kwa Israel ni kubwa hata Tanzania ipewe trillion 10 kila mwaka za kununua silaha tungekua miles ahead.

Vipi wakashindwa rescue mateka wa Munich? Na walikua wamestage mpaka Airport feki? Why utolee mfano wa inferior country kama Uganda unaacha superior kama Germany? Au unashindwa kuhoji kivpi Iron Dome waliodai inazuia mabomu iliruhusu rocket za Hamas zaidi ya elfu 5 kutua ndani ya Israel?

All in all tuombee amani tu kuonyeshana ubabe hakumsaidii yoyote. Walimtunishia misuli Hitler wakaishia kufa million 6!!
hv roket elf 5 unazijua ? muwe mnatumia akili nyiny waislam , mnaish km mbuz , unajuwa matokeo ya roketi moja tu je hizo elf 5 zitaleta athar ipi ? waislam msiwe km mazombi
 
Hollywood imechota akili ya vijana wengi sana...plus na media za kimagharibi....na ukiangalia na elimu tunayopata hapa kwetu nayo kwa asilimia kubwa haitufanyi tuwe wadadisi wa mambo Bali ni kupokea vitu kama tunavyoambiwa na kuendelea na maisha...no room for inquisitivity kabisa
tumeona meng sn ila nyiny ndo mnaishi kweny nadharia , israel si aliwadunda mataifa ya kiarabu krb yote?
 
Iran kwanini asimfanye Israel, kama Japan alivyofanywa na USA. Huyu Israel mbona anaonyesha kibri cha hovyo sana. Ingekuwa ni uwezo wangu ningemfuta kabisa kwenye uso huu.
Chukua leso futa jasho lako tu mkuu dont dare think of Israel. Thats a hot water. Waulize waarabu walifanywa nini miaka 60 iliyopita
 
Musa a.s alimshinda Firauni kwa kupewa miujiza iliyoushinda uchawi mbele ya wafuasi wake aliowakushanya kwa fakhari.
Habari za teknolojia kubwa ya ulinzi ya Israel kila mtu aliiogopa japo haioni.Watoto wadogo wa Hamas wakaisoma na kuidukua halafu wakaizima yote kusini nzima ya Israel.
Q
tumeona meng sn ila nyiny ndo mnaishi kweny nadharia , israel si aliwadunda mataifa ya kiarabu krb yote?
Nadharia ndo theory sio....correct me if I'm wrong...nimezungumzia mfano WA Hollywood kwa sababu tunaaminishwa always wamagharibi watashinda tu no matter what lakini je wamekuwa wakishinda mda wte kwni....na hiyo 6 days war ni kwli jamaa walishinda lakini zama zinabadilika...hatupendi vita lakini mda mwingine unaona kama hyo ndo njia pekee itakayofanya watu fikra zibadilike na kuona kuna namna ya kuendesha mambo kwa namna nyngine...ukandamizwaji wa watu wa Gaza pale ni mda mrefu sana unatokea ila Media za kimagharibi zimekuwa zinapindua habari ionekane wanachokifanya Zionist ni sawa tu....wapalaestina hawajaanza kuuwawa juzi, jana wala leo...ni mda mrefu sana na imechukuliwa ni kawaida ila baada ya lile shambulio la hao Hamas limeishtua Dunia na Zionist wenyewe kuona kumbe na wao wanaweza kuuliwa wengi na kuumizwa....Sasa wazimu umewaingia wanaua watu hovyo...mtoto mdogo anauliwa...wazee....wao kama Wana the best intelligence agency kama wanavyosifiwa baada ya kushambuliwa si wangetumia mbinu za kimedani kuwadaka hiko kikundi cha wanamgambo lakini nn wanachokifanya....ni ugaidi wanafanya kama vile ambavyo wanawatuhumu Hamas walivyofanya kuua watu wengi na wasio na hatia
 
Back
Top Bottom