Hizbulah wabomoa kamera za Israel huku washirika wake wakizidi kukasirika

Hizbulah wabomoa kamera za Israel huku washirika wake wakizidi kukasirika

hv roket elf 5 unazijua ? muwe mnatumia akili nyiny waislam , mnaish km mbuz , unajuwa matokeo ya roketi moja tu je hizo elf 5 zitaleta athar ipi ? waislam msiwe km mazombi
Christians huwa mnachekesha sana yaani wenyewe mnavyoitetea israel mnajiona kama christians wenzenu wakati hao jews hata jesus hawamtambui na wao history inasema ndio waliomsulubisha msalabani mpk wakamvua nguo akabaki na chupi kwa kitendo walichomfanyia yesu ilibidi wawe maadui wenu lakini kwa kukosa akili ndio mnawasifia eti taifa teule ,taifa tukufu limehalalisha mpk ndoa za jinsi moja yaani kufukuana mimavi pale ruksa halafu mnasema taifa teule la mungu kwahyo huyo mungu anakubaliana na ushoga.
 
Ndio nasema kinachoibeba Israel ni misaada ya USA. Ila ukisema sijui wana uwezo wa kivita mbona walichakazwa na Hitler.
Kumbe na wewe ni mbumbumbu kiasi hiki?

Enzi za Hitler Israel ilikuwaje? Ilikuwa inapigana na Hitler?

Wavaa kobaz mna akili fupi sana!
 
If that's the case walikua wapi pale waisrael million 6 walipochinjwa na Hitler? Alafu Acha kukariri huko US kuna ethnicity zote kuna wachina na wahindi zaidi ya 15 Million. So its not like Jews wana changia pakubwa kwenye population ya US. Hata waarab tu wapo million 5 hapo USA!! So kusema kwakuwa kuna wayahudi million 8 basi ndio wasaidiwe vipi kwa hao wachina?
Problem siyo idadi tu ndio maana nikakueleza wanashikilia nyanja muhimu. Kwenye idara hata black american wapo M 30 + ila hawapo kwenye nyanja muhimu. Unaelewa?

Yaani kwa kifupi walioshikilia uchumi wa Marekani ni Jewish penda usipende.
 
Iran kwanini asimfanye Israel, kama Japan alivyofanywa na USA. Huyu Israel mbona anaonyesha kibri cha hovyo sana. Ingekuwa ni uwezo wangu ningemfuta kabisa kwenye uso huu.
Sawa shangazi dimaa jaribu tu uone !
 
Q

Nadharia ndo theory sio....correct me if I'm wrong...nimezungumzia mfano WA Hollywood kwa sababu tunaaminishwa always wamagharibi watashinda tu no matter what lakini je wamekuwa wakishinda mda wte kwni....na hiyo 6 days war ni kwli jamaa walishinda lakini zama zinabadilika...hatupendi vita lakini mda mwingine unaona kama hyo ndo njia pekee itakayofanya watu fikra zibadilike na kuona kuna namna ya kuendesha mambo kwa namna nyngine...ukandamizwaji wa watu wa Gaza pale ni mda mrefu sana unatokea ila Media za kimagharibi zimekuwa zinapindua habari ionekane wanachokifanya Zionist ni sawa tu....wapalaestina hawajaanza kuuwawa juzi, jana wala leo...ni mda mrefu sana na imechukuliwa ni kawaida ila baada ya lile shambulio la hao Hamas limeishtua Dunia na Zionist wenyewe kuona kumbe na wao wanaweza kuuliwa wengi na kuumizwa....Sasa wazimu umewaingia wanaua watu hovyo...mtoto mdogo anauliwa...wazee....wao kama Wana the best intelligence agency kama wanavyosifiwa baada ya kushambuliwa si wangetumia mbinu za kimedani kuwadaka hiko kikundi cha wanamgambo lakini nn wanachokifanya....ni ugaidi wanafanya kama vile ambavyo wanawatuhumu Hamas walivyofanya kuua watu wengi na wasio na hatia
hampend vita ? alshabab , hamas , taliban , hizbollah , al qaida , boko harama , is , brotherhood , adf , janja weed etc kwel hampend vita , UNAFIKI NA UONGO NDO VIMETAWALA MIONGONI MWA WAUMINI WA UISLAM
 
Umenena vyema kaka. Tatizo watu wengi hawapo well-informed. Huwa wanasikiliza story za vijiweni tu.

IDF wana hesitate tu kuingia Gaza kwakuwa wanajua ndio stronghold ya Hamas na jamaa wameshaandaa traps na countermeasures.

Sasa kama IDF ina hesitate kwa Hamas vipi kuhusu Hezbollah? Mpaka sasa Israel wanaonekana ku fail ndio maana wanaishia tu kufanya ukatili kwa raia wasio na hatia.

Hawezi kupigana vita in three fronts. Apambane na Hamas huku kaskazini kuna Hezbollah then aingie hapo Iran.

Bila intervention ya US na washirika wake Israel is nothing but a joke.
kwan hamas alifanya ukatili kwa wanajeshi wa israel , nyiny waislam ni watu wanafiki sana , na ndio maana popote mliopo lzm fujo zitokee , maana hampend ukwel mnapenda yale mnayoyapenda nyiny , afrika ya kati iliwakaribisha miaka ya 1980 to 90 mlipokuwa wengu mkaanza iona nchi kama yenu vile , leo mmeiharibu afrika ya kati , hiyo dini yenu na ushetan ni mapacha , dini yenu inahubir umwagaj dan tu na kwa unafiki hamjambo , hamas wameua raia wema ila nyiny mlitaka israel isijibu kwa kuwaua raia wanawahifadhi hao hamas huko Gaza maana zipo sehem nyiny ndan ya Gaza hazijaguswa kbs
 
Kumbe na wewe ni mbumbumbu kiasi hiki?

Enzi za Hitler Israel ilikuwaje? Ilikuwa inapigana na Hitler?

Wavaa kobaz mna akili fupi sana!
Mie sio muislam hata usiipeleke vita kidini.
Ndio enzi za Hitler Jews walianzisha sio tu vikundi vya kigaidi ila walikua na battalion kadhaa kwenye jeshi la US, Poland, Na UK ila walisagwa sagwa na Hitler.

Ni ajabu sana watu kukuza uwezo wao wa kivita ilihali sote tunajua ni pesa za mmarekani ndio zinamlinda
 
hampend vita ? alshabab , hamas , taliban , hizbollah , al qaida , boko harama , is , brotherhood , adf , janja weed etc kwel hampend vita , UNAFIKI NA UONGO NDO VIMETAWALA MIONGONI MWA WAUMINI WA UISLAM
Umetaja vikundi vyenye mlengo wa Kiislamu pasi na kujiuliza kiini cha haya makundi ni nn hasa...halafu Ina maana hakuna watu wa Imani zingine ambao wanaunda vikundi vya kuasi kutokana na madhila ya kitu Fulani.....inaonekana definition ya ugaidi Ina correlate na uislamu tu....si vinginevyo
 
Problem siyo idadi tu ndio maana nikakueleza wanashikilia nyanja muhimu. Kwenye idara hata black american wapo M 30 + ila hawapo kwenye nyanja muhimu. Unaelewa?

Yaani kwa kifupi walioshikilia uchumi wa Marekani ni Jewish penda usipende.
Ndio maana nikakuuliza kama Israel ndio ina control USA walikua wapi mpaka wayahudi million 6 wanachinjwa na Hitler? Kwanini USA haikuingia kwenye vita mapema kuokoa wayahudi?
 
Afu nilikuwa najuaga una akili et
Yeah nina akili ndio maana nimekataa kuwa brainwashed kama wewe. Yaani mtu na akili zako unakomaa eti Israel ina uwezo wa kivita "naturally" unasahau World War 2 walikua na brigade zao kwenye majeshi ya poland na bado walichakazwa na Hitler.

The only difference ni uwepo wa pesa za marekani ila wakikata msaada wana jeshi la kawaida tu. Mfano tuliambiwa iron dome inazuia mabomu sio? Sasa wewe nisaidie ilikuwaje rockets zaidi ya elfu 5 za Hamas zimetua ndani ya ardhi ya Israel?

Ukitaka kuwa free thinker ondoa mahaba ya dini kwanza kabla hujachangia mada.
 
Mie sio muislam hata usiipeleke vita kidini.
Ndio enzi za Hitler Jews walianzisha sio tu vikundi vya kigaidi ila walikua na battalion kadhaa kwenye jeshi la US, Poland, Na UK ila walisagwa sagwa na Hitler.

Ni ajabu sana watu kukuza uwezo wao wa kivita ilihali sote tunajua ni pesa za mmarekani ndio zinamlinda
Zinamlinda sababu ana mchango nazo!

Kwanini Marekani wasiilinde Gaza?
 
Yeah nina akili ndio maana nimekataa kuwa brainwashed kama wewe. Yaani mtu na akili zako unakomaa eti Israel ina uwezo wa kivita "naturally" unasahau World War 2 walikua na brigade zao kwenye majeshi ya poland na bado walichakazwa na Hitler.

The only difference ni uwepo wa pesa za marekani ila wakikata msaada wana jeshi la kawaida tu. Mfano tuliambiwa iron dome inazuia mabomu sio? Sasa wewe nisaidie ilikuwaje rockets zaidi ya elfu 5 za Hamas zimetua ndani ya ardhi ya Israel?

Ukitaka kuwa free thinker ondoa mahaba ya dini kwanza kabla hujachangia mada.
Asee huna akili kweli kabisa sasa hapa nimehakikisha poor Mother of urs
 
Zinamlinda sababu ana mchango nazo!

Kwanini Marekani wasiilinde Gaza?
Mbona anailinda na Saudi Arabia? Kila kitu ni maslahi, unatafuta mshirika kwenye maeneo ya kimkakati.

Huko Nyuma Israel aliwahi ivamia Misri na kukalia kimabavu eneo la Sinai. Ila kwa kuwa Egypt naye alikua mshirika wa USA na pia eneo lilikua la kimkakati maana Suez Canal inapitisha meli za wamarekani ikabidi ampe order Israel aondoe majeshi otherwise mpaka leo sinai nzima ingekua chini ya Israel.

Politics is a game of interests, hata Saudia inafadhili vikundi vya waasi maeneo mengi ila USA anamchekea sababu anamhitaji kimkakati same to Israel.
 
Back
Top Bottom