Hizbulah wabomoa kamera za Israel huku washirika wake wakizidi kukasirika

Nasubiri majibu mbona hunipi majibu???
Israel alifuata nini Syria,Lebanon na Egypt?
Syria kateka Gollan heights,Egypt aliteka Sinai akapokonywa na Lebanon aliteka Bint jubeir akapokonywa asa huko kote nako kunamuhusu nini Israel??
Nasubiri majibu tafadhali.
 
Wale jamaa wa Kibiti walikuwa nani Mkuu?
Kibiti kwa uelewa wangu kulikua na maelezo mengi wakisemekana magaidi,walitoa statement wakisema majambazi na ipo statement wakisema watu wa vyama pinzani wakiharibu amani kama alivyotuhumiwa Mbowe.
Hivyo kwa mimi sikuwahi kupata jibu which is which huwenda wajuzi humu ndani majibu kamili wanayo.
Ila uamsho kilichowaroga ni kutaka muungano uvunjike wabaki na Zanzibar kama nchi ya kiislam hapo ndipo vuguvugu lilitanda zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…