Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Siku mbili baada ya mashambulio ya kielektronik nchini Lebanon yaliyofanywa na Israel na kufuatiwa na mashambulizi ya maroketi nchini Lebanon,hizbollah nao wamefanya shambulizi la aina yake lililolenga mifumo ya umeme ndani ya Israel
Baada ya mashambuli ya kuripuka kwa simu na walkie talkie Israel iliendelea kupiga maeneo zaidi ya kusini ya Lebanon.Usiku wa jana Hizbullah wamerusha makombora matatu mazitu maeneo ya Metulla ambapo moto umetokea kwenye vituo vya kusambazia umeme na kusababisha giza katika baadhi ya maeneo ndani ya Israel
Wakati huo huo Norway ambayo ilikuwa mwenyeji wa mapatano kati ya Palestina na Israel miaka ya nyuma imetoa tahadhari kuwa hali katika mashariki ya kati kwa sasa ni tete sana.
Baada ya mashambuli ya kuripuka kwa simu na walkie talkie Israel iliendelea kupiga maeneo zaidi ya kusini ya Lebanon.Usiku wa jana Hizbullah wamerusha makombora matatu mazitu maeneo ya Metulla ambapo moto umetokea kwenye vituo vya kusambazia umeme na kusababisha giza katika baadhi ya maeneo ndani ya Israel
Injuries, electricity damage after intense Israel, Hezbollah crossfire
Later in the night, Hezbollah launched three huge rockets towards the Israeli town of Metula. We saw pictures of huge fires and there are reports of damage to electricity infrastructure. This just shows the intensity of Hezbollah and Israel’s crossfire. ALJAZEERAWakati huo huo Norway ambayo ilikuwa mwenyeji wa mapatano kati ya Palestina na Israel miaka ya nyuma imetoa tahadhari kuwa hali katika mashariki ya kati kwa sasa ni tete sana.