Hizbullah waanza kutumia ile silaha yao kuzima umeme Israel

Hizbullah waanza kutumia ile silaha yao kuzima umeme Israel

Siku mbili baada ya mashambulio ya kielektronik nchini Lebanon yaliyofanywa na Israel na kufuatiwa na mashambulizi ya maroketi nchini Lebanon,hizbollah nao wamefanya shambulizi la aina yake lililolenga mifumo ya umeme ndani ya Israel

Baada ya mashambuli ya kuripuka kwa simu na walkie talkie Israel iliendelea kupiga maeneo zaidi ya kusini ya Lebanon.Usiku wa jana Hizbullah wamerusha makombora matatu mazitu maeneo ya Metulla ambapo moto umetokea kwenye vituo vya kusambazia umeme na kusababisha giza katika baadhi ya maeneo ndani ya Israel

Injuries, electricity damage after intense Israel, Hezbollah crossfire

Later in the night, Hezbollah launched three huge rockets towards the Israeli town of Metula. We saw pictures of huge fires and there are reports of damage to electricity infrastructure. This just shows the intensity of Hezbollah and Israel’s crossfire. ALJAZEERA

Wakati huo huo Norway ambayo ilikuwa mwenyeji wa mapatano kati ya Palestina na Israel miaka ya nyuma imetoa tahadhari kuwa hali katika mashariki ya kati kwa sasa ni tete sana.

View: https://x.com/VividProwess/status/1837028598177239383/photo/1
 
Mkuu kama ulifuatilia lile shambulio la Iran la May lilikua kulipa kisasi cha kulipuliwa balozi yake Syria.
Na usisahau nchi tano USA,UK,France, Jordan na Saudi Arabia walishiriki kuzuia hayo makombora yasifike Israel.
Bahati mbaya makombora saba yalipenya.
Na makombora alotumia Iran yalikua ni light unguided missiles.
Lengo lake lilikua ni kuonya.
Ila Iran ana heavy high precision guided missiles ambazo Hizbollah alipewa atumie ndio hizo ziliharibu kambi ya Galilaya na mji wa Galilaya kiasi Israel ikahamisha raia.
Kuhusu USA,UK, FRANCE kuikingia kifua Israel sio hoja hiyo kwasababu hata Iran ikiamua inaweza peleka AD Lebanon kuikingia kifua Hezbollah, sasa vuta picha kati ya makombora 300 alafu Saba ndio yapenye huo ni udhaifu mkubwa kwa Iran, kuhusu Israel kuhamisha raia hiyo ni kawaida hata Urusi imefanya kule Kursk, kwanza upande wa Lebanon kusini pia raia kibao wameamishwa.
 
Israel ndio super power wa Middle east, sasa Super power anavyochokozwa na wavaa kobazi inabidi awashushie kipondo kama alichotoa gaza, Ili wasiwaze japo kurusha hata jiwe ndani ya nchi yake.
Huyo kiongozi mkuu wa Hezbollah si Jana tu kasema Israel imevuka msatar mwekundu? Iran si ilipandisha hadi bendera ya kisasi kwa Israel? Kwamba wote pamoja na houthi nikwamba mnaogopa kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ama mda Bado haujafika?
 
Kuhusu USA,UK, FRANCE kuikingia kifua Israel sio hoja hiyo kwasababu hata Iran ikiamua inaweza peleka AD Lebanon kuikingia kifua Hezbollah, sasa vuta picha kati ya makombora 300 alafu Saba ndio yapenye huo ni udhaifu mkubwa kwa Iran, kuhusu Israel kuhamisha raia hiyo ni kawaida hata Urusi imefanya kule Kursk, kwanza upande wa Lebanon kusini pia raia kibao wameamishwa.
Mkuu usikaze kichwa pia usipimie maneno kitoto.
Kitendo cha Iran kurusha makombora mepesi,maana Iran ilitumia makombora mepesi,UK,US,France na Jordan nchi tatu ZENYE NGUVU mnakaa kuyapangua makombora ya TAIFA MOJA utasemaje hilo ni jambo dogo!???
Hii inamaanisha kama hizo nchi zisingeshiriki kuikingia kifua Israel basi Israel ingekua ina misiba mingi nchini kwake.
Licha ya kukingiwa kifua makombora 7 yamepenya.
Bro embu soma kwa makini USA,UK,FRANCE hivi haya mataifa unayajua nguvu zao za kijeshi!???
Sasa hapo ushasema IRAN peke yake,kumbuka kule kuna Marekani, Ufaransa na Uingereza.
Je huo uwiano uko sawa???

Sababu ya Russia kuwaondoa raia Kursk ni tofauti na sababu za Israel kuondoa raia Galilaya.
Russia imeondoa raia kwasababu jeshi la Ukraine tayari limeingia pale.
Na inasemekana Ukraine huchukua raia kama mateka.
Kabla ya hapo Israel Galilaya raia walikua wakiendelea na shughuli zao.Ila Iron dome ilipofeli kudungua makombora ya Hizbollah raia iliwabidi waondoke maana hakuna kilinda anga tena.

Usichukulie vitu kiwepesi mkuu.
Tena pale Iran alitumia makombora mepesi kama angetumia makombora mazito kama lile walilorusha Yemen majuzi kwenda Tel aviv tungeongea mengine sasa hivi.
Tena mataifa matatu makubwa duniani yameshiriki kuyadungua.
 
Huyo kiongozi mkuu wa Hezbollah si Jana tu kasema Israel imevuka msatar mwekundu? Iran si ilipandisha hadi bendera ya kisasi kwa Israel? Kwamba wote pamoja na houthi nikwamba mnaogopa kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ama mda Bado haujafika?
Israel nchi inayomkingia kifua ni USA.
Rais mpya wa Iran alikataza kulipa kisasi alisisitiza Iran ishughulike kuondoa vikwazo vya kiuchumi.
Kwasababu ikishambulia Israel mataifa mengi yakichochewa na USA yataongeza vikwazo kwa Iran.
Sijui kama hili ulilijua mkuu!!??
 
Screenshot_2024-09-19-23-51-44-44.jpg
 
Doh mkuu sijui mambo huwa unayaelewa kwa mlengwa upi.
Kila shambulio hufanyika kwasababu.
Unajua kwanini Hizbollah na Houthi wameingilia vita ya Hamas vs Israel??

Mkuu usikaze kichwa pia usipimie maneno kitoto.
Kitendo cha Iran kurusha makombora mepesi,maana Iran ilitumia makombora mepesi,UK,US,France na Jordan nchi tatu ZENYE NGUVU mnakaa kuyapangua makombora ya TAIFA MOJA utasemaje hilo ni jambo dogo!???
Hii inamaanisha kama hizo nchi zisingeshiriki kuikingia kifua Israel basi Israel ingekua ina misiba mingi nchini kwake.
Licha ya kukingiwa kifua makombora 7 yamepenya.
Bro embu soma kwa makini USA,UK,FRANCE hivi haya mataifa unayajua nguvu zao za kijeshi!???
Sasa hapo ushasema IRAN peke yake,kumbuka kule kuna Marekani, Ufaransa na Uingereza.
Je huo uwiano uko sawa???

Sababu ya Russia kuwaondoa raia Kursk ni tofauti na sababu za Israel kuondoa raia Galilaya.
Russia imeondoa raia kwasababu jeshi la Ukraine tayari limeingia pale.
Na inasemekana Ukraine huchukua raia kama mateka.
Kabla ya hapo Israel Galilaya raia walikua wakiendelea na shughuli zao.Ila Iron dome ilipofeli kudungua makombora ya Hizbollah raia iliwabidi waondoke maana hakuna kilinda anga tena.

Usichukulie vitu kiwepesi mkuu.
Tena pale Iran alitumia makombora mepesi kama angetumia makombora mazito kama lile walilorusha Yemen majuzi kwenda Tel aviv tungeongea mengine sasa hivi.
Tena mataifa matatu makubwa duniani yameshiriki kuyadungua.
Wewe ndio unachukulia vitu kiwepesi sana, alafu muongo muongo sana eti "makombora mepesi" hapo ndipo uliponichosha, hebu yataje hayo makombora unayodai kuwa ni mepesi yaliotumika siku hiyo..
 
Israel nchi inayomkingia kifua ni USA.
Rais mpya wa Iran alikataza kulipa kisasi alisisitiza Iran ishughulike kuondoa vikwazo vya kiuchumi.
Kwasababu ikishambulia Israel mataifa mengi yakichochewa na USA yataongeza vikwazo kwa Iran.
Sijui kama hili ulilijua mkuu!!??
Sawa acha tuone
 
Wewe ndio unachukulia vitu kiwepesi sana, alafu muongo muongo sana eti "makombora mepesi" hapo ndipo uliponichosha, hebu yataje hayo makombora unayodai kuwa ni mepesi yaliotumika siku hiyo..
Soma ripoti hapo chini.
Halafu hayo makombora ni unguided missiles.
Makombora hayavuki hata tani moja unayaitaje mazito??
Screenshot_2024-09-20-14-48-12-80_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Yani kila nikiiangalia Gaza ilivofaywa vifusi namna Ile, naona kabisa siku Israel itatangaza vita na Hezbollah hiyo miji ya Lebanon itakavokuwa vifusi navo, tatizo Hivo vikundi vinajibu kidogo sana kulinganisha na Israel inavopiga.
Vita ndio hivyo vinaendelea na Gaza wamefanya kifusi lakini hawajashinda.
IDF karibu watakimbiana.Wengi wamechoka kupigana.
 
Gaza mkuu haina jeshi kamili na wala haina silaha nzito za kujikinga.
Hizbollah wana silaha nzito za kufika popote pale Israel.
Ndio maana unaona Israel wenyewe wanaishia kulipua limited fire.
Kwasababu wanajua wakilipua pakubwa Hizbollah italipa.
Hizbollah ina kila aina ya silaha kasoro ndege vita tu na meli vita.
Hao sio wepesi mkuu.
Rejelea vita ya 2006 Israel alikimbizwa mchaka mchaka akapakimbia hapo Lebanon kusini.
Acha hadithi kichaa za madrasa mzee Neta ana waeliminate
 
Back
Top Bottom