Hivi una habari kama Israel imeishiwa jeshi inakusanya wahamiaji kutoka Afrika wakapigane kwa niaba yao??Acha hadithi kichaa za madrasa mzee Neta ana waeliminate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi una habari kama Israel imeishiwa jeshi inakusanya wahamiaji kutoka Afrika wakapigane kwa niaba yao??Acha hadithi kichaa za madrasa mzee Neta ana waeliminate
Na wajute haswaaLebanon watajuta
Wewe msela wa Buguruni Mnyamani ndio eti unatoa data za jeshi la Israel halafu unataka watu wakuamini..🤣🤣Hawawezi mkuu labda kama wakipata usaidizi wa vikosi toka Ulaya.
Kwasababu Hizbullah ina wapiganaji wapatao laki moja.
Hilo ni jeshi tayari.
Ukizingatia Israel ina askari takriban laki na ishirini walemavu wa kudumu.
Wengine walemavu wa akili kwa athari ya mapigano Gaza.
Kiufupi Israel haipo katika shape nzuri ya full out war.
Sio rahisi kama unavyodhani,,, hapo itakuwa piga nikupige,, kumbuka hamas silaha yao kubwa manati na magobole sio kama hizbollah wenye kila kituYani kila nikiiangalia Gaza ilivofaywa vifusi namna Ile, naona kabisa siku Israel itatangaza vita na Hezbollah hiyo miji ya Lebanon itakavokuwa vifusi navo, tatizo Hivo vikundi vinajibu kidogo sana kulinganisha na Israel inavopiga.
Kama hufuatilii mwenyewe mambo yanayoendelea mashariki ya kati na ukingia JF ukakutana na comments zenu nyie wakuresh wa kiembesamaki unaweza jua Israel imebaki magofu tu kumbe wajukuu wa allah kwa wale mabinti zake watatu akina Uzz na wenzake wanajifariji tu huku JF.Lebanon sio Gaza aisee.
Na hapo Israel akijichanganya Iran anapitisha silaha zake nzito zitumiwe na Hizbollah,halafu uone hayo maafa.
Pia Houthi wapo Syria na Taliban wapo Syria pia.
Kitendo cha Israel kuanzisha vita atakumbana na hayo makundi.
Nadhani unawajua Taleban mziki wao sio wa kitoto.
Huyo ni mkuresh wa Mafisa kwa mambi. Ana details zote za Hezbullah na cos. 😀😀😀Wewe msela wa Buguruni Mnyamani ndio eti unatoa data za jeshi la Israel halafu unataka watu wakuamini..🤣🤣
Lebanon sio Gaza aisee.
Na hapo Israel akijichanganya Iran anapitisha silaha zake nzito zitumiwe na Hizbollah,halafu uone hayo maafa.
Pia Houthi wapo Syria na Taliban wapo Syria pia.
Kitendo cha Israel kuanzisha vita atakumbana na hayo makundi.
Nadhani unawajua Taleban mziki wao sio wa kitoto.
Tunafuatilia kuliko hata wewe mbuzi katoliki wa kiembe samaki.Kama hufuatilii mwenyewe mambo yanayoendelea mashariki ya kati na ukingia JF ukakutana na comments zenu nyie wakuresh wa kiembesamaki unaweza jua Israel imebaki magofu tu kumbe wajukuu wa allah kwa wale mabinti zake watatu akina Uzz na wenzake wanajifariji tu huku JF.
Hajaingia ila ameleta wapiganaji Syria ambao kama vita ikizuka basi atapigana pamoja na Hizbollah.Talban nae kaingia vitan tangu lini mkuu?
Wewe na huyo mwenzako wote hamjawahi kuwa na point.Huyo ni mkuresh wa Mafisa kwa mambi. Ana details zote za Hezbullah na cos. 😀😀😀
Si Rais wa Iran aliyeomba ni marekani wa washirika walimuomba Muiran baada ya kifo Cha Haniye kuwa asilipize kisasi na mataifa hayo yakamwambia asipolipiza kisasi watamuondolea vikwazo vya kiuchumi sasa haijajulikana kama Iran alikubali ofa hiyo au laIsrael nchi inayomkingia kifua ni USA.
Rais mpya wa Iran alikataza kulipa kisasi alisisitiza Iran ishughulike kuondoa vikwazo vya kiuchumi.
Kwasababu ikishambulia Israel mataifa mengi yakichochewa na USA yataongeza vikwazo kwa Iran.
Sijui kama hili ulilijua mkuu!!??
Bado mda wakuivamia labnon.. ngoja amalizane na palastina kwanzaKinachonishangaza Mimi kwa nini Israel haingii kuwaangamiza Hezbollah licha ya yote anayofanyiwa na Hezb, afanye kama alivyofanya huko Gaza.
Hilo linakutisha wewe lakini haliwatishi wanaodhulumiwa.Yani kila nikiiangalia Gaza ilivofaywa vifusi namna Ile, naona kabisa siku Israel itatangaza vita na Hezbollah hiyo miji ya Lebanon itakavokuwa vifusi navo, tatizo Hivo vikundi vinajibu kidogo sana kulinganisha na Israel inavopiga.
Ila pia Rais mpya kabla ya kuombwa mwenyewe alitamka na kusema Iran itazidi kudumaa kiuchumi ikiendekeza vita.Si Rais wa Iran aliyeomba ni marekani wa washirika walimuomba Muiran baada ya kifo Cha Haniye kuwa asilipize kisasi na mataifa hayo yakamwambia asipolipiza kisasi watamuondolea vikwazo vya kiuchumi sasa haijajulikana kama Iran alikubali ofa hiyo au la
Lebanon hawezi na hatoweza,labda kama akipewa usaidizi wa USA.Bado mda wakuivamia labnon.. ngoja amalizane na palastina kwanza
Ndio maana Magufuli hakutoa fursa kwa Chadema kuvalia vizuri kwenda ofisini kuzima umeme tu.Na mama naye akaamua kumalizia kinu cha umeme cha maporomoko ya mto Rufiji.Kumbe umeme ni silaha tosha badi Tanganyika inafanya mauaji ya halaiki.
All the best
Acha uongo wewe wavaa kobazi Kila siku wanapasuka huko na mu Israel mtoa rohoTunafuatilia kuliko hata wewe mbuzi katoliki wa kiembe samaki.
Hivi unajua kama hasara za upande wa Israel zinafichwa??
Hivi unajua kama Galilaya hakukaliki?
Hivi unajua kama wayahudi wengi wamekimbia Israel kwa kuhofia usalama?
Hivi unajua jeshi la Israel limepata askari laki moja na ishirini wenye ulemavu wa kudumu!??
Kama hujui kitu kalisha makalio chini unyamaze.
Sawa kijana?
Mimi mwenyewe naogopa Israel maana ni NATOYani kila nikiiangalia Gaza ilivofaywa vifusi namna Ile, naona kabisa siku Israel itatangaza vita na Hezbollah hiyo miji ya Lebanon itakavokuwa vifusi navo, tatizo Hivo vikundi vinajibu kidogo sana kulinganisha na Israel inavopiga.