Hizbullah waanza kutumia ile silaha yao kuzima umeme Israel

Hizbullah waanza kutumia ile silaha yao kuzima umeme Israel

Wewe umejuaje sasa wakati unakiri wanaficha?
Kuna habari kama mbili ama tatu Haaretz ndio walizitoa ambazo zilikinzana na taarifa ya IDF.
Kwanza kuhusu majeruhi wa vita,IDF ilisema 7k kumbe ni 70k mwanzoni mwa huu mwaka.
Pili mashambulizi ya Hizbollah kambi ya Galilaya walificha na kusema haikulipuka yote na hakuna vifo wala majeruhi kumbe kambi nzima ilitekekea.
Video na photo haaretz walirusha.
Na ukihitaji ushahidi zaidi mkuu nitaupekua nikuletee.
 
Fanya hivyo kaka, nasubiri
 
Fanya hivyo kaka, nasubiri
Kuna ripoti mbili hapo.
Ya times of Israel na Israel national news.
Times of Israel inasema kutokana na ripoti ya IDF since October 7 majeruhi ni 4000+.
Israel national news inasema kulingana na vita za Gaza hadi sasa kuna 70,000 disabled soldiers hadi kufikia August.
Kama majeruhi walikua 4k,tumewezaje kupata walemavu 70k??
Na suala la disabled soldiers IDF imekua ngumu kutaja katika ripoti zao.
Hadi vyombo kama hivyo vilazimishe habari ndio unapata ripoti kamili.
Screenshot_2024-09-21-20-49-23-47_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-21-20-53-47-31_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-21-20-54-28-50_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Gaza mkuu haina jeshi kamili na wala haina silaha nzito za kujikinga.
Hizbollah wana silaha nzito za kufika popote pale Israel.
Ndio maana unaona Israel wenyewe wanaishia kulipua limited fire.
Kwasababu wanajua wakilipua pakubwa Hizbollah italipa.
Hizbollah ina kila aina ya silaha kasoro ndege vita tu na meli vita.
Hao sio wepesi mkuu.
Rejelea vita ya 2006 Israel alikimbizwa mchaka mchaka akapakimbia hapo Lebanon kusini.
Shida waarabu hawana umoja, wazungu wamewagwa, na Israel inawamudu wote walio upande hasi
 
Shida waarabu hawana umoja, wazungu wamewagwa, na Israel inawamudu wote walio upande hasi
Uko sahihi.
Ila waarabu nao baadhi washaanza kuchoka kupelekeshwa,mfano wao Qatar na Saudi Arabia.
Hizo silaha na uchumi wa Hamas ni hizo nchi ndio zinafadhili.
 
Tunafuatilia kuliko hata wewe mbuzi katoliki wa kiembe samaki.
Hivi unajua kama hasara za upande wa Israel zinafichwa??
Hivi unajua kama Galilaya hakukaliki?
Hivi unajua kama wayahudi wengi wamekimbia Israel kwa kuhofia usalama?
Hivi unajua jeshi la Israel limepata askari laki moja na ishirini wenye ulemavu wa kudumu!??

Kama hujui kitu unyamaze.
Sawa kijana?
Hayo ni kwa mujibu wa redio masjid ubwabwa ya kule Ukonga Mazizini kwa shehe Abdallah Kichwawazi.
 
Kwa haraka haraka hamas pekee yake kila siku ana karanga zaidi ya 10 na mjeruhi si chini ya 30 every day ukichanganya na hizbo hapo ndio utaelewa hawa jamaa wanaficha lakini hizo ni nyeti za kuku..upepo itakuja kuwaumbua tu
 
Back
Top Bottom