Hizbullah waanza kutumia ile silaha yao kuzima umeme Israel

Wewe msela wa Buguruni Mnyamani ndio eti unatoa data za jeshi la Israel halafu unataka watu wakuamini..🤣🤣
 
Yani kila nikiiangalia Gaza ilivofaywa vifusi namna Ile, naona kabisa siku Israel itatangaza vita na Hezbollah hiyo miji ya Lebanon itakavokuwa vifusi navo, tatizo Hivo vikundi vinajibu kidogo sana kulinganisha na Israel inavopiga.
Sio rahisi kama unavyodhani,,, hapo itakuwa piga nikupige,, kumbuka hamas silaha yao kubwa manati na magobole sio kama hizbollah wenye kila kitu
 
Kama hufuatilii mwenyewe mambo yanayoendelea mashariki ya kati na ukingia JF ukakutana na comments zenu nyie wakuresh wa kiembesamaki unaweza jua Israel imebaki magofu tu kumbe wajukuu wa allah kwa wale mabinti zake watatu akina Uzz na wenzake wanajifariji tu huku JF.
 
Talban nae kaingia vitan tangu lini mkuu?
 
Tunafuatilia kuliko hata wewe mbuzi katoliki wa kiembe samaki.
Hivi unajua kama hasara za upande wa Israel zinafichwa??
Hivi unajua kama Galilaya hakukaliki?
Hivi unajua kama wayahudi wengi wamekimbia Israel kwa kuhofia usalama?
Hivi unajua jeshi la Israel limepata askari laki moja na ishirini wenye ulemavu wa kudumu!??

Kama hujui kitu unyamaze.
Sawa kijana?
 
Huyo ni mkuresh wa Mafisa kwa mambi. Ana details zote za Hezbullah na cos. 😀😀😀
Wewe na huyo mwenzako wote hamjawahi kuwa na point.
Nenda katizame hata news channel ya Haaretz uone ni walemavu wangapi Israel imepata kama jeshi.
Halafu rudi hapa useme wewe kama kamanda utaruhusu kuingia vitani??
 
Si Rais wa Iran aliyeomba ni marekani wa washirika walimuomba Muiran baada ya kifo Cha Haniye kuwa asilipize kisasi na mataifa hayo yakamwambia asipolipiza kisasi watamuondolea vikwazo vya kiuchumi sasa haijajulikana kama Iran alikubali ofa hiyo au la
 
Kinachonishangaza Mimi kwa nini Israel haingii kuwaangamiza Hezbollah licha ya yote anayofanyiwa na Hezb, afanye kama alivyofanya huko Gaza.
Bado mda wakuivamia labnon.. ngoja amalizane na palastina kwanza
 
Yani kila nikiiangalia Gaza ilivofaywa vifusi namna Ile, naona kabisa siku Israel itatangaza vita na Hezbollah hiyo miji ya Lebanon itakavokuwa vifusi navo, tatizo Hivo vikundi vinajibu kidogo sana kulinganisha na Israel inavopiga.
Hilo linakutisha wewe lakini haliwatishi wanaodhulumiwa.
 
Ila pia Rais mpya kabla ya kuombwa mwenyewe alitamka na kusema Iran itazidi kudumaa kiuchumi ikiendekeza vita.
Akapendekeza kujikita kidiplomasia.
Nahisi baada ya hiyo kauli ndio mabwana wakubwa wakatumia fursa.
 
Bado mda wakuivamia labnon.. ngoja amalizane na palastina kwanza
Lebanon hawezi na hatoweza,labda kama akipewa usaidizi wa USA.
2006 palimtoa kamasi hapo anapajua vizuri tu.
 
Kumbe umeme ni silaha tosha badi Tanganyika inafanya mauaji ya halaiki.
All the best
 
Kumbe umeme ni silaha tosha badi Tanganyika inafanya mauaji ya halaiki.
All the best
Ndio maana Magufuli hakutoa fursa kwa Chadema kuvalia vizuri kwenda ofisini kuzima umeme tu.Na mama naye akaamua kumalizia kinu cha umeme cha maporomoko ya mto Rufiji.
 
Acha uongo wewe wavaa kobazi Kila siku wanapasuka huko na mu Israel mtoa roho
 
Yani kila nikiiangalia Gaza ilivofaywa vifusi namna Ile, naona kabisa siku Israel itatangaza vita na Hezbollah hiyo miji ya Lebanon itakavokuwa vifusi navo, tatizo Hivo vikundi vinajibu kidogo sana kulinganisha na Israel inavopiga.
Mimi mwenyewe naogopa Israel maana ni NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…