Huendi mbinguni lo
Wewe umejuaje sasa wakati unakiri wanaficha?Hivi unajua kama hasara za upande wa Israel zinafichwa??
Kuna habari kama mbili ama tatu Haaretz ndio walizitoa ambazo zilikinzana na taarifa ya IDF.Wewe umejuaje sasa wakati unakiri wanaficha?
Fanya hivyo kaka, nasubiriKuna habari kama mbili ama tatu Haaretz ndio walizitoa ambazo zilikinzana na taarifa ya IDF.
Kwanza kuhusu majeruhi wa vita,IDF ilisema 7k kumbe ni 70k mwanzoni mwa huu mwaka.
Pili mashambulizi ya Hizbollah kambi ya Galilaya walificha na kusema haikulipuka yote na hakuna vifo wala majeruhi kumbe kambi nzima ilitekekea.
Video na photo haaretz walirusha.
Na ukihitaji ushahidi zaidi mkuu nitaupekua nikuletee.
Kuna ripoti mbili hapo.Fanya hivyo kaka, nasubiri
Shida waarabu hawana umoja, wazungu wamewagwa, na Israel inawamudu wote walio upande hasiGaza mkuu haina jeshi kamili na wala haina silaha nzito za kujikinga.
Hizbollah wana silaha nzito za kufika popote pale Israel.
Ndio maana unaona Israel wenyewe wanaishia kulipua limited fire.
Kwasababu wanajua wakilipua pakubwa Hizbollah italipa.
Hizbollah ina kila aina ya silaha kasoro ndege vita tu na meli vita.
Hao sio wepesi mkuu.
Rejelea vita ya 2006 Israel alikimbizwa mchaka mchaka akapakimbia hapo Lebanon kusini.
Uko sahihi.Shida waarabu hawana umoja, wazungu wamewagwa, na Israel inawamudu wote walio upande hasi
Hayo ni kwa mujibu wa redio masjid ubwabwa ya kule Ukonga Mazizini kwa shehe Abdallah Kichwawazi.Tunafuatilia kuliko hata wewe mbuzi katoliki wa kiembe samaki.
Hivi unajua kama hasara za upande wa Israel zinafichwa??
Hivi unajua kama Galilaya hakukaliki?
Hivi unajua kama wayahudi wengi wamekimbia Israel kwa kuhofia usalama?
Hivi unajua jeshi la Israel limepata askari laki moja na ishirini wenye ulemavu wa kudumu!??
Kama hujui kitu unyamaze.
Sawa kijana?