Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza.
Mwezi uliopita Hizbullah walifanikiwa kuipiga rada kubwa ya jeshi la Israel ambayo kazi yake ni kuangalia makombora yanayotokea kusini mwa Lebanon kuingia nchini mwake na kutoa ishara kwa ving'ora ili kuonya watu na askari wawahi kujificha.
Wiki iliyopita droni za Hizbullah zilizorushwa ndani ya Israel zilisababisha moto mkubwa kwenye vichaka na karibu na majengo ya raia,moto ambao umechukua siku kadhaa kuuzima.
Hapo juzi jeshi la Israel limekiri kutokea shambulia ndani ya eneo la Galilee ambalo wala hawakupata ishara yoyote kwamba shambulia hilo la kombora la katyusha lilikuwa liko njiani.
Jana sasa ndio Hizbullah wametangaza kuipiga Iran dome na kuiharibu japo jeshi la nchi hiyo limekanusha kutokea kwa shambulio hilo.
Aljazeera.
===
The Lebanese group Hezbollah has claimed that it has struck Israel’s Iron Dome air defence system with a missile in northern Israel.
The armed group published footage reportedly showing a guided missile striking an Iron Dome launcher, which is located near the northern Israeli town of Ramot Naftali.
The Israeli military has said that it is not aware of any damage done to the launcher, The Times of Israel reports.