Hizbullah wameipiga Iron dome yenyewe inayoilinda Israel dhidi ya makombora

Hizbullah wameipiga Iron dome yenyewe inayoilinda Israel dhidi ya makombora

Siikumbuki sana lakini kama Israeli alipigwa basi ujue safari hii atakuwa ameshausoma mchezo na amejiandaa.
Israel anategeme drone na F35 zaidi ya hapo hana cha maana na sasa hisbollah wemshaweza kuziona hizo drone na maana kila siku zinaangushww na leo tena imeangushwa nyingine
 
Lakini mkuu, kama IDF wataingia na kuwa wapo tayari ndani ya Lebanon; hayo makombora ya masafa marefu Hizbullah atayatumiaje? Halafu kama hayo makombora yataharibiwa yakiwa bado ardhini hayajafyatulia yatakuwa na kazi gani tena mbona ni mavyuma useless?
Israel inaitawala gaza yote lakini bado roketi zinarushwa kuelekea Israel.
 
Israel inaitawala gaza yote lakini bado roketi zinarushwa kuelekea Israel.
Kama IDF itakuwa tayari ndani ya Lebanon hayo maroketi yatakayorushwa kuelekea Israeli yatakuwa ni kwa lengo gani tena ilhali mlengwa IDF yupo ndani ya Lebanon? Au ndo hiyo kupiga raia wasio na hatia itakuwa imegeuka na inaendelea ila sasa ni zamu ya Hezbollah kuua raia wa Israeli na kubomoa miundo mbinu ya kijamii huko Israel? Kutesa kwa zamu eti?
 
nakukumbusha kinachotokea Gaza kitakuja kutokea Lebanon hizbollah wanawachokoza Israel dunia ipo kimya ila kichapo kikianza utasikia PLAY FOR LEBANON
Msije lalamika baadae ooo anaua raia na watoto,Kwa Hamas mlisemaga hivi hivi
Tabu ya HEZBOLLAH ukirusha loketi 100
Yeye atakurushia 300 muda huo huo
Kisha ndo ataanza kufikilia namna gani ya kutwangana na wewe

kubari ukatae Moja kati ya VIKWAZO vikubwa kwa ISLAEL middle East ukiacha IRAN yenyewe basi ni HEZBOLLAH ni moja kati ya MAKUNDI yanayoinyima usingizi ISRAEL
!na inahitajika mbinu na umakini kuivamia LEBANON ili kukabiliana na HEZBOLLAH

zile mbinu za miaka ya zamani za kutegea kuvizia na kujifanya hauko tayari kwa vita kisha unapanga mipango chinichini kuvamia kwa AMBUSH kama alivyokuwa anafanya miaka ya zamani hazifui dafu tena kam zilivyofeli GAZA
7bu majeshi yote yapo tayri muda wote
Kwa vita na HEZBOLLAH ina vifaa na watu walio tayari muda wote
 
Back
Top Bottom