Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kwani uongo! Hauwi watoto/civilians, ndicho anachoweza na kufanikiwa, kupambana na wanaume ZERO ZERO.Israel ikijibu mtaanza kusema anashambulia watoto na kina mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo! Hauwi watoto/civilians, ndicho anachoweza na kufanikiwa, kupambana na wanaume ZERO ZERO.Israel ikijibu mtaanza kusema anashambulia watoto na kina mama
OK. kama ni kweli basi tukuombe tu uwe na subra kidogo halafu baadaye tutakutaka urudi hapa hapa ili uje kuukanusha usemi huo kwa kitakachokuwa kinaendelea dhidi ya Hezbollah/Lebanon.iwapo watu wote duniani wanaona isipokuwa wewe. Sasa ni zamu yenu kupata mshangao kitakachoipata Israel
kajifunze kwanza kuandikaPamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza.
Mwezi uliopita Hizbullah walifanikiwa kuipiga rada kubwa ya jeshi la Israel ambayo kazi yake ni kuangalia makombora yanayotokea kusini mwa Lebanon kuingia nchini mwake na kutoa ishara kwa ving'ora ili kuonya watu na askari wawahi kujificha.
Wiki iliyopita droni za Hizbullah zilizorushwa ndani ya Israel zilisababisha moto mkubwa kwenye vichaka na karibu na majengo ya raia,moto ambao umechukua siku kadhaa kuuzima.
Hapo juzi jeshi la Israel limekiri kutokea shambulia ndani ya eneo la Galilee ambalo wala hawakupata ishara yoyote kwamba shambulia hilo la kombora la katyusha lilikuwa liko njiani.
Jana sasa ndio Hizbullah wametangaza kuipiga Iran dome na kuiharibu japo jeshi la nchi hiyo limekanusha kutokea kwa shambulio hilo.
Aljazeera.
===
The Lebanese group Hezbollah has claimed that it has struck Israel’s Iron Dome air defence system with a missile in northern Israel.
The armed group published footage reportedly showing a guided missile striking an Iron Dome launcher, which is located near the northern Israeli town of Ramot Naftali.
The Israeli military has said that it is not aware of any damage done to the launcher, The Times of Israel reports.
![]()
"Hizbullah ina missile power ya kurusha makombora 3000+ kwa siku."Rudi 2006 utaijua Hizbullah.
Hizbullah ina missile power ya kurusha makombora 3000+ kwa siku.
Missile power hiyo ni ngumu kwa IDF ku intercept."Hizbullah ina missile power ya kurusha makombora 3000+ kwa siku."
Kwa hiyo.........??
2006 unakumbuka vita kati ya Israel na Hizbullah!?OK. kama ni kweli basi tukuombe tu uwe na subra kidogo halafu baadaye tutakutaka urudi hapa hapa ili uje kuukanusha usemi huo kwa kitakachokuwa kinaendelea dhidi ya Hezbollah/Lebanon.
Siikumbuki sana lakini kama Israeli alipigwa basi ujue safari hii atakuwa ameshausoma mchezo na amejiandaa.2006 unakumbuka vita kati ya Israel na Hizbullah!?
Lakini mkuu, kama IDF wataingia na kuwa wapo tayari ndani ya Lebanon; hayo makombora ya masafa marefu Hizbullah atayatumiaje? Halafu kama hayo makombora yataharibiwa yakiwa bado ardhini hayajafyatulia yatakuwa na kazi gani tena mbona ni mavyuma useless?Missile power hiyo ni ngumu kwa IDF ku intercept.
Nadhani makombora ya udunguaji yatawaishia haraka.
Kwa kipindi cha miezi 8 hiyo kazi ya kuharibu na kupiga imefanyika sana ndani ya Lebanon na haijawezekana.Hivyo hata wakisema nini Israel kwa sasa kuna shida kuwapiga Hizbullah.Lakini mkuu, kama IDF wataingia na kuwa wapo tayari ndani ya Lebanon; hayo makombora ya masafa marefu Hizbullah atayatumiaje? Halafu kama hayo makombora yataharibiwa yakiwa bado ardhini hayajafyatulia yatakuwa na kazi gani tena mbona ni mavyuma useless?
View: https://youtu.be/o5OScOzn1vw?si=-5L055bCi_AyVyOe
Hezbullah safari hi anayo silaha ya kuangusha ndege F16 akienda vibaya baya ataipata safari hi
Alishindwa kuyaharibu mwaka jana alipotuma ndege na drone ziingie asa hivi,ataweza zitungua sasa hivi bro!?Lakini mkuu, kama IDF wataingia na kuwa wapo tayari ndani ya Lebanon; hayo makombora ya masafa marefu Hizbullah atayatumiaje? Halafu kama hayo makombora yataharibiwa yakiwa bado ardhini hayajafyatulia yatakuwa na kazi gani tena mbona ni mavyuma useless?
Na wale waliotekwa na wengine kuuwawa siku ile wamevamia walikuwa wanajeshi?!,,au unafikiri unaishi peke ako ndani ya hii dunia.Ndicho mnachoweza😁, while hamas wanauwa wanajeshi tu
Kwani uongo! Hauwi watoto/civilians, ndicho anachoweza na kufanikiwa, kupambana na wanaume ZE
ZERO.wanaume
Tusubiri tuone. Kila mwamba ngoma huvutia kwake.Alishindwa kuyaharibu mwaka jana alipotuma ndege na drone ziingie asa hivi,ataweza zitungua sasa hivi bro!?
Kiufupi Israel imetumia nguvu kubwa sana Gaza ni ngumu kupigana na Hizbullah sasa hivi.
Hizbullah ni jeshi kamili lina kila aina ya vifaa hadi vifaru sio kama Hamas wanaotumia maroketi na RPG.
Ujana huo mkuu. Muda wote 24/7 wanawazia tu mabikra 72 na mito ya pombe.Vijana wa mnyaaaazi mna shida sana
Jeshi la Lebanon kwa kiasi kikubwa lina muunganiko na Hizbullah.Tusubiri tuone. Kila mwamba ngoma huvutia kwake.
Unataka kusema kwamba Lebanon haina jeshi rasmi la nchi hiyo(LAF) na nchi hiyo inaitegemea Hezbollah (a Lebanese Shia Islamist political party and militant group) ? Au LAF na Hezbollah watazisahau tofauti zao na wataunganisha nguvu dhidi ya IDF?
Ila bro hapa hapajazungumziwa dini.Vijana wa mnyaaaazi mna shida sana