Hizbullah wameipiga Iron dome yenyewe inayoilinda Israel dhidi ya makombora

Ukianzisha vita ujue silaha aina yoyote ita tumika
Hilo sasa ndilo linalowaponza. Vita ikihusishwa na mambo ya Udini eti kwamba nayo ni mojawapo ya silaha, manake unawaalika wote wenye imani husika wajione kwamba nao wako vitani. Madhara yake ni makubwa sana sana. Kwa mfano Hizbullah akisema sisi Waislam wa madhehebu ya Shia tuko vitani atakuwa amewatenga madhehebu ya Suni na vita ya kidini ni mbaya mno. Yani unatumia Imani kama silaha? Je, wasiokuwa wa Imani yako lakini wapo ndani ya nchi au eneo lako unawaweka fungu gani? Jeshi halina dini ila lina wapiganaji wenye imani tofauti tofauti.
 
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza.

Mwezi uliopita Hizbullah walifanikiwa kuipiga rada kubwa ya jeshi la Israel ambayo kazi yake ni kuangalia makombora yanayotokea kusini mwa Lebanon kuingia nchini mwake na kutoa ishara kwa ving'ora ili kuonya watu na askari wawahi kujificha.

Wiki iliyopita droni za Hizbullah zilizorushwa ndani ya Israel zilisababisha moto mkubwa kwenye vichaka na karibu na majengo ya raia,moto ambao umechukua siku kadhaa kuuzima.

Hapo juzi jeshi la Israel limekiri kutokea shambulia ndani ya eneo la Galilee ambalo wala hawakupata ishara yoyote kwamba shambulia hilo la kombora la katyusha lilikuwa liko njiani.

Jana sasa ndio Hizbullah wametangaza kuipiga Iran dome na kuiharibu japo jeshi la nchi hiyo limekanusha kutokea kwa shambulio hilo.

Aljazeera.

===

The Lebanese group Hezbollah has claimed that it has struck Israel’s Iron Dome air defence system with a missile in northern Israel.

The armed group published footage reportedly showing a guided missile striking an Iron Dome launcher, which is located near the northern Israeli town of Ramot Naftali.

The Israeli military has said that it is not aware of any damage done to the launcher, The Times of Israel reports.

Israel's Iron Dome anti-missile system intercepts rockets launched from Lebanon, amid ongoing cross-border hostilities between Hezbollah and Israeli forces, as seen from the Hula Valley in northern Israel, May 23, 2024. REUTERS/Ayal Margolin ISRAEL OUT. NO COMMERCIAL OR EDITORIAL SALES IN ISRAEL TPX IMAGES OF THE DAY's Iron Dome anti-missile system intercepts rockets launched from Lebanon, amid ongoing cross-border hostilities between Hezbollah and Israeli forces, as seen from the Hula Valley in northern Israel, May 23, 2024. REUTERS/Ayal Margolin ISRAEL OUT. NO COMMERCIAL OR EDITORIAL SALES IN ISRAEL TPX IMAGES OF THE DAY
Weka link source ya habari yako...
 
Hezbollah wamehadaiwa, waliyoipiga ni decoy tu, huu hapa utafauti👇👇👇
 
Attachments

  • FB_IMG_17177034945276735.jpg
    FB_IMG_17177034945276735.jpg
    188.5 KB · Views: 5
  • FB_IMG_17177034868034788.jpg
    FB_IMG_17177034868034788.jpg
    516.8 KB · Views: 4
Hezbollah wamehadaiwa, waliyoipiga ni decoy tu, huu hapa utafauti👇👇👇
Wewe ni wale wanaume ambao kamfumania mkewe mwanaume mwengine halafu anasema nimemkuta ila alikua hajaingiza yote ilikua kichwa tu.🤣
 
Hesboll
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza.

Mwezi uliopita Hizbullah walifanikiwa kuipiga rada kubwa ya jeshi la Israel ambayo kazi yake ni kuangalia makombora yanayotokea kusini mwa Lebanon kuingia nchini mwake na kutoa ishara kwa ving'ora ili kuonya watu na askari wawahi kujificha.

Wiki iliyopita droni za Hizbullah zilizorushwa ndani ya Israel zilisababisha moto mkubwa kwenye vichaka na karibu na majengo ya raia,moto ambao umechukua siku kadhaa kuuzima.

Hapo juzi jeshi la Israel limekiri kutokea shambulia ndani ya eneo la Galilee ambalo wala hawakupata ishara yoyote kwamba shambulia hilo la kombora la katyusha lilikuwa liko njiani.

Jana sasa ndio Hizbullah wametangaza kuipiga Iran dome na kuiharibu japo jeshi la nchi hiyo limekanusha kutokea kwa shambulio hilo.

Aljazeera.

===

The Lebanese group Hezbollah has claimed that it has struck Israel’s Iron Dome air defence system with a missile in northern Israel.

The armed group published footage reportedly showing a guided missile striking an Iron Dome launcher, which is located near the northern Israeli town of Ramot Naftali.

The Israeli military has said that it is not aware of any damage done to the launcher, The Times of Israel reports.

Israel's Iron Dome anti-missile system intercepts rockets launched from Lebanon, amid ongoing cross-border hostilities between Hezbollah and Israeli forces, as seen from the Hula Valley in northern Israel, May 23, 2024. REUTERS/Ayal Margolin ISRAEL OUT. NO COMMERCIAL OR EDITORIAL SALES IN ISRAEL TPX IMAGES OF THE DAY's Iron Dome anti-missile system intercepts rockets launched from Lebanon, amid ongoing cross-border hostilities between Hezbollah and Israeli forces, as seen from the Hula Valley in northern Israel, May 23, 2024. REUTERS/Ayal Margolin ISRAEL OUT. NO COMMERCIAL OR EDITORIAL SALES IN ISRAEL TPX IMAGES OF THE DAY
Hesbollah piga hayo magaidi ya kizayuni
 
Wewe ni wale wanaume ambao kamfumania mkewe mwanaume mwengine halafu anasema nimemkuta ila alikua hajaingiza yote ilikua kichwa tu.🤣
Picha uliyoleta Ni tofauti na iron dome halisi 👇👇
Wewe ni wale wanaume ambao kamfumania mkewe mwanaume mwengine halafu anasema nimemkuta ila alikua hajaingiza yote ilikua kichwa tu.🤣
 
Attachments

  • FB_IMG_17177034945276735.jpg
    FB_IMG_17177034945276735.jpg
    188.5 KB · Views: 4
  • FB_IMG_17177034868034788.jpg
    FB_IMG_17177034868034788.jpg
    516.8 KB · Views: 2
nakukumbusha kinachotokea Gaza kitakuja kutokea Lebanon hizbollah wanawachokoza Israel dunia ipo kimya ila kichapo kikianza utasikia PLAY FOR LEBANON
Lebanon. Ni sio kama gaza kuwa mtawakatia maji mafuta na chakula na kucontro magnetic space ...amka ww kibaka
 
Back
Top Bottom