Hizbullah wameipiga Iron dome yenyewe inayoilinda Israel dhidi ya makombora

iwapo watu wote duniani wanaona isipokuwa wewe. Sasa ni zamu yenu kupata mshangao kitakachoipata Israel
OK. kama ni kweli basi tukuombe tu uwe na subra kidogo halafu baadaye tutakutaka urudi hapa hapa ili uje kuukanusha usemi huo kwa kitakachokuwa kinaendelea dhidi ya Hezbollah/Lebanon.
 
kajifunze kwanza kuandika
 
OK. kama ni kweli basi tukuombe tu uwe na subra kidogo halafu baadaye tutakutaka urudi hapa hapa ili uje kuukanusha usemi huo kwa kitakachokuwa kinaendelea dhidi ya Hezbollah/Lebanon.
2006 unakumbuka vita kati ya Israel na Hizbullah!?
 
Missile power hiyo ni ngumu kwa IDF ku intercept.
Nadhani makombora ya udunguaji yatawaishia haraka.
Lakini mkuu, kama IDF wataingia na kuwa wapo tayari ndani ya Lebanon; hayo makombora ya masafa marefu Hizbullah atayatumiaje? Halafu kama hayo makombora yataharibiwa yakiwa bado ardhini hayajafyatulia yatakuwa na kazi gani tena mbona ni mavyuma useless?
 
Kwa kipindi cha miezi 8 hiyo kazi ya kuharibu na kupiga imefanyika sana ndani ya Lebanon na haijawezekana.Hivyo hata wakisema nini Israel kwa sasa kuna shida kuwapiga Hizbullah.
Vifaa vingi vya Hizbullah viko chini ya ardhi karika maeneo ambayo ni shida sana kugundulika.Wakiingia kwa miguu ni jambo litakalowapa fursa Hizbullah kuwapiga askari wa IDF ambao wamechoshwa mno na Hamas.
Kuna eneo kaskazini ya Israel ambalo vita vya miguu vikishika kasi basi Hizbullah wanaweza kulishika kirahisi.
 
Alishindwa kuyaharibu mwaka jana alipotuma ndege na drone ziingie asa hivi,ataweza zitungua sasa hivi bro!?
Kiufupi Israel imetumia nguvu kubwa sana Gaza ni ngumu kupigana na Hizbullah sasa hivi.
Hizbullah ni jeshi kamili lina kila aina ya vifaa hadi vifaru sio kama Hamas wanaotumia maroketi na RPG.
 
Tusubiri tuone. Kila mwamba ngoma huvutia kwake.
Unataka kusema kwamba Lebanon haina jeshi rasmi la nchi hiyo(LAF) na nchi hiyo inaitegemea Hezbollah (a Lebanese Shia Islamist political party and militant group) ? Au LAF na Hezbollah watazisahau tofauti zao na wataunganisha nguvu dhidi ya IDF?
 
Jeshi la Lebanon kwa kiasi kikubwa lina muunganiko na Hizbullah.
Hata 2006 jeshi la Lebanon liliiunga mkono Hizbullah katika vita ya kuikomboa Bint Jubeir.
Na wala hawana tofauti,kama wangekua na tofauti basi jeshi la Lebanon lingepiga marufuku shughuli za kijeshi za kundi la Hizbullah.
Ila ugomvi wa Israel na Hizbullah hautaingiliwa na jeshi la Lebanon.
Siongei kishabiki mkuu,ila kwasasa Israel ipo katika bad shape kuanzisha full scale war na kundi lililokamilika kama jeshi.
Maana vita na Hizbullah itaitaka Israel itumie rasilimali vitu na watu mara kumi ya walizotumia dhidi ya Hamas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…