Israel anategeme drone na F35 zaidi ya hapo hana cha maana na sasa hisbollah wemshaweza kuziona hizo drone na maana kila siku zinaangushww na leo tena imeangushwa nyingineSiikumbuki sana lakini kama Israeli alipigwa basi ujue safari hii atakuwa ameshausoma mchezo na amejiandaa.
Israel inaitawala gaza yote lakini bado roketi zinarushwa kuelekea Israel.Lakini mkuu, kama IDF wataingia na kuwa wapo tayari ndani ya Lebanon; hayo makombora ya masafa marefu Hizbullah atayatumiaje? Halafu kama hayo makombora yataharibiwa yakiwa bado ardhini hayajafyatulia yatakuwa na kazi gani tena mbona ni mavyuma useless?
Kama IDF itakuwa tayari ndani ya Lebanon hayo maroketi yatakayorushwa kuelekea Israeli yatakuwa ni kwa lengo gani tena ilhali mlengwa IDF yupo ndani ya Lebanon? Au ndo hiyo kupiga raia wasio na hatia itakuwa imegeuka na inaendelea ila sasa ni zamu ya Hezbollah kuua raia wa Israeli na kubomoa miundo mbinu ya kijamii huko Israel? Kutesa kwa zamu eti?Israel inaitawala gaza yote lakini bado roketi zinarushwa kuelekea Israel.
nakukumbusha kinachotokea Gaza kitakuja kutokea Lebanon hizbollah wanawachokoza Israel dunia ipo kimya ila kichapo kikianza utasikia PLAY FOR LEBANON
Tabu ya HEZBOLLAH ukirusha loketi 100Msije lalamika baadae ooo anaua raia na watoto,Kwa Hamas mlisemaga hivi hivi