Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja.
Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara wa laki 2,3,4,5 na mtoto aliyesoma kidumu na mfagio.
Ni vyema hizi ajira za namna hii wakaachiwa tu wazazi walikosa uwezo wa kupeleka watoto wao huko EMS halafu hawa wa EMS wakajikita katika kuanzisha makampuni mengi binafsi.
Huwezi msomesha mtoto kwa million kadhaa ili aje agombanie interview za upolisi sijui uhamiaji, sijui jeshi sijui ualimu ni ukosefu wa akili huu.
Wakina Mo Dewji, Yusuf Bakhresa waliopiga level za International Schools kama (IST) hawakuwa na huu ujinga wa kuja kugombania ajira za laki tatu.