Hizi ajira hazifai kugombewa na watoto waliosoma English Medium Schools[ EMS]

Hamna bana labdatake kulalamika ada kubwa kuliko uhalisia ila ems nzuri sana kwa future ya mtoto
Wanafanya kitu kizuri Sana Kwa sababu inasaidia kuwafungua watanzania wengi wasio na uelewa WA mambo.
 
Ana exposure gani kuliko wa Kayumba wakati mwisho wa siku wote ni UDSM,SAUT products?
Watoto wenyewe ni hawahawa wazazi wao wala ugali, wamezaliwa hivi vituo vya afya, wamecheza michezo hiihii ya kujificha, walimu wao ni hawahawa mama Peter (huko wanaitwa madam) wahitimu wa vyuo hivihivi, wana changamoto hizihizi, kisha mzazi/mleziunajitesa kulipa milioni kadhaa huku ukitarajia makubwa kwa mwanao kwa kuwa nyumbani mmeacha kuongea Kiswahili ili mwanao azoee Kingereza cha huko EM. Insanity!
 
1. Atachangia mijadala ya kimataifa kwa kujiamini

2. Hata kua comedian bila kupenda kama diamond kwenye series ya young, famous & african,huku jamaa lugha inamtesa sana

3. Inachangamsha akili,elimu unayoipata huku lugha inapanda vizuri ni nzuri sasa kwetu primary kiswahili, secondary english inachanganya

Sio Kweli mkuu
 
Watoto wenyewe ni hawahawa wazazi wao wala ugali, wamezaliwa hivi vituo vya afya, wamecheza michezo hiihii ya kujificha, walimu wao ni hawahawa mama Peter (huko wanaitwa madam) wahitimu wa vyuo hivihivi, wana changamoto hizihizi, kisha mzazi/mleziunajitesa kulipa milioni kadhaa huku ukitarajia makubwa kwa mwanao kwa kuwa nyumbani mmeacha kuongea Kiswahili ili mwanao azoee Kingereza cha huko EM. Insanity!
Mazingira ya kazi nayo ni hayahaya ya ubabaishaji
 
Sarakasi nyingi,kila mbuzi ale urefu wa kamba yake.
Lakini tunarudi kule kule kuwa "ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA".
Usidharau kazi,wakati hata hivyo viwanda wafanyakazi 90% wanalipwa chini ya 5k.

Ukitaja mishahara ya wakuu wa Idara wanaoweza lipwa juu 5k......

Wanahesabika.

Unadharau,Upolisi,Ualimu,Uaskari.

Nchi hii,anaeweza kufaidi keki ya taifa ni MWANASIASA+FISADI.
 
Ufanisi watakaouleta ndio utaleta tija itakayoonyesha kwanini wanahitaji kulipwa hela nyingi.

Wao ndio tunawategemea watutoe hapa nakututengenezea Tanzania mpya
 
Kule nna pata value for money kwanza napata starehe halafu pili nyota Kuna watoto WA kike wana nyota Kali Sana mmoja nimesex nae tarehe 31 Dec mwaka jana tarehe 3 nimeingiza vimilioni kadhaa kwenye biashara zangu. Kule Ems ni kutoa tu hela no value for money
😁😁😁
Mkuu, kwa hiyo unaamini hizo milioni kadhaa ulizoingiza zimetokana na nyota kali ya “Kigoli” uliyekutanisha nae via vya uzazi? Vipi kama ni siku tu ilikwenda vizuri?
Sawa, tuseme ni nyota kali. Vipi siku ukikutanisha na “kigoli” mwenye mikosi ya kufa mtu, huoni utaambulia magonjwa na kuzorota kwa biashara na kila kitu maishani mwako.

Hauofii “Ngwengwe”?
Kila kitu kina pande mbili, uzuri na ubaya/Changamoto.
 
Mwanamke wangu WA kwanza nimelala nae tarehe 18 November 2000 nikiwa nna miakam15 yeye 16 nipo form two.

Huyu ni yule ambae nililala nae nikakojoa achilia mbali wale wa utotoni wale wa kinguo nguo na kichupi.

So wanawake ninawajua vizuri utadhani Mimi ndio nimewaumba.

Nina ishars 40 ambazo huzitumia kumjua mwanamke mwenye nyota na asie na nyota .

Kuhusu ngoma huwa tunapima kwanza plus condom huwa Zina husika.

Wanawake Kweli wana nyota Kuliko unavyo weza kufikiria.
 
Sawa mkuu.
Kila la kheri kwenye harakati zako.
 
Back
Top Bottom