Hizi ajira hazifai kugombewa na watoto waliosoma English Medium Schools[ EMS]

Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja.

Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara wa laki 2,3,4,5 na mtoto aliyesoma kidumu na mfagio.

Ni vyema hizi ajira za namna hii wakaachiwa tu wazazi walikosa uwezo wa kupeleka watoto wao huko EMS halafu hawa wa EMS wakajikita katika kuanzisha makampuni mengi binafsi.

Huwezi msomesha mtoto kwa million kadhaa ili aje agombanie interview za upolisi sijui uhamiaji, sijui jeshi sijui ualimu ni ukosefu wa akili huu.

Wakina Mo Dewji, Yusuf Bakhresa waliopiga level za International Schools kama (IST) hawakuwa na huu ujinga wa kuja kugombania ajira za laki tatu.
🤣🤣🤣🤣

Naunga mkono hoja
 
Upeo mkubwa huwezi poteza mamilioni ili uje upate laki 2 ya masimango huu ni upuuzi wa kiwango cha juu
Watu wote kupata elimu bora ni jambo la muhimu na pengine muhimu zaidi, bila kujali gharama inayotumika na itakayorudi. Ina maana wewe watoto wako elimu kwao umeifanya kama biashara?
 
Mtoto anayesoma hapa hafanikiwa kwa sababu ya Shule bali kwa sababu Kwao kuna Hela.

Tujue kutofautisha.

Tutafute hela watoto wasome pazuri ila sio kwamba hiyo shule inamchango mkubwa kwenye kutoboa, big no.
Mtoto anasoma shule ya English Medium darasa Lina wanafunzi wanane ana enjoy vipi mtoto hapo? Hujui mtoto anaenda shule kucheza kusocialize na wenzake? Shule nzuri Kwa mtoto ni shule ambayo ata interact na watoto wenzake Kwa wingi na kucheza michezo yote ya watoto
 
Elimu bora ni nini
Kumuelimisha mtu mafundisho fulani inabidi awe ana msingi wa kuyapokea. Kama hujui elimu bora, si ajabu kuona unapiga hesabu za ada na mishahara, na hauna msingi wa kuelimishwa. Inabidi tuanze nyuma kabisa kabla haujaelezwa kuhusu elimu bora
 
Pamoja na kusomesha watoto kwa gharama kubwa hizi Saint nani nani sijui.

Zoote kwa ujumla wake hakuna hata moja imefundisha ubunifu yaani no Innovation in a single school.

Watoto wa Kayumba na wale wa St Abdula ukiwaweka pamoja hawana tofauti labda kingereza tu ambacho nacho hakileti ugali mezani.

Sisi wenye hela za kuvuja jasho tujitafakari tuache mambo ya kuiga kwa wapiga deal
100% Fact
 
Mtoto anasoma shule ya English Medium darasa Lina wanagunzi wanane ana enjoy vipi mtoto hapo? Hujui mtoto anaenda shule kucheza kusocialize na wenzake? Shule nzuri Kwa mtoto ni shule ambayo ata interact na watoto wenzake Kwa wingi na kucheza michezo yote ya watoto
Bila kusahau kombolela😁
 
Kumuelimisha mtu mafundisho fulani inabidi awe ana msingi wa kuyapokea. Kama hujui elimu bora, si ajabu kuona unapiga hesabu za ada na mishahara, na hauna msingi wa kuelimishwa. Inabidi tuanze nyuma kabisa kabla haujaelezwa kuhusu elimu bora
Jibu swali Wacha sarakasi. Elimu bora ni nini?
 
Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja.

Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara wa laki 2,3,4,5 na mtoto aliyesoma kidumu na mfagio.

Ni vyema hizi ajira za namna hii wakaachiwa tu wazazi walikosa uwezo wa kupeleka watoto wao huko EMS halafu hawa wa EMS wakajikita katika kuanzisha makampuni mengi binafsi.

Huwezi msomesha mtoto kwa million kadhaa ili aje agombanie interview za upolisi sijui uhamiaji, sijui jeshi sijui ualimu ni ukosefu wa akili huu.

Wakina Mo Dewji, Yusuf Bakhresa waliopiga level za International Schools kama (IST) hawakuwa na huu ujinga wa kuja kugombania ajira za laki tatu.
EMS ni tofauti na hizo ulizotaja shule za IST. EMS hazina tofauti na shule za serikali ila ni shule ambazo zina standard ya miundombinu ambayo hata serikali yenyewe inajua ndiyo inapaswa kuwa standard ya shule.
Ukitaka kujua hilo tazama shule ya serikali kama Olympio, unaona miundombinu yake ni sawa na shule private za EMS.
Hivyo watoto wengi wa EMS bado wataendelea kugombea ajira na watoto wa shule za kawaida za serikali kwa sababu hakuna anything special zaidi ya kwamba wazazi hawakutaka wasome kwa kuhangaika sana hasa kwa suala la miundombinu.
 
Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja.

Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara wa laki 2,3,4,5 na mtoto aliyesoma kidumu na mfagio.

Ni vyema hizi ajira za namna hii wakaachiwa tu wazazi walikosa uwezo wa kupeleka watoto wao huko EMS halafu hawa wa EMS wakajikita katika kuanzisha makampuni mengi binafsi.

Huwezi msomesha mtoto kwa million kadhaa ili aje agombanie interview za upolisi sijui uhamiaji, sijui jeshi sijui ualimu ni ukosefu wa akili huu.

Wakina Mo Dewji, Yusuf Bakhresa waliopiga level za International Schools kama (IST) hawakuwa na huu ujinga wa kuja kugombania ajira za laki tatu.
Ajira ni free market, competition itakuwepo
Na zinapotangazwa hawasemi watoto wa shule fulani wasigombee

Matter of fact sidhani kama mzazi mwenye uwezo wa kupeleka mtoto IST , atakuwa hana uwezo wa kumpachika mwanae kwenye high position
 
Pamoja na kusomesha watoto kwa gharama kubwa hizi Saint nani nani sijui.

Zoote kwa ujumla wake hakuna hata moja imefundisha ubunifu yaani no Innovation in a single school.

Watoto wa Kayumba na wale wa St Abdula ukiwaweka pamoja hawana tofauti labda kingereza tu ambacho nacho hakileti ugali mezani.

Sisi wenye hela za kuvuja jasho tujitafakari tuache mambo ya kuiga kwa wapiga deal
Kujua lugha ya kimataifa ni muhimu sana hasa kama nchi yako sio superpower au yenye ushawishi mkubwa duniani
 
Ajira ni free market, competition itakuwepo
Na zinapotangazwa hawasemi watoto wa shule fulani wasigombee

Matter of fact sidhani kama mzazi mwenye uwezo wa kupeleka mtoto IST , atakuwa hana uwezo wa kumpachika mwanae kwenye high position
Kawazungumzia WA Shule za EMs za mtaani
 
Back
Top Bottom