Hizi ajira hazifai kugombewa na watoto waliosoma English Medium Schools[ EMS]

Wapo wa kayumba nayo ambao wako nondo mkuu, japo ukweli ni kwamba wengi wa Kayumba ni hafifu kwa ubora.
 
Una neno zuri.Naendelea kuangalia mtanange.
 
Kilimo, ufugaji na Biashara ndizo ajira pekee zenye mishahara minono zaidi ya 1m kwa wiki au mwezi 🐒
 
Kujua lugha ya kimataifa ni muhimu sana hasa kama nchi yako sio superpower au yenye ushawishi mkubwa duniani
Nakubali....lugha hiyo itakusaidia ukiwa umeenda huko au unataka kutumia fursa za huko. Ila lugj hiyo haikupa hiyo fursa
 
mzazi yeye anataka mtoto wake asome kwenye mazingira bora, anampeleka english medium

serikali haiboreshi shule zake kuridhisha wazazi kwamba watoto wao watasoma kwenye mazingira mazuri

sasa mbona mnamlaumu mzazi?
 
Umeelezea vizuri na umeeleweka kabisa. Thank you.
 
mzazi yeye anataka mtoto wake asome kwenye mazingira bora, anampeleka english medium

serikali haiboreshi shule zake kuridhisha wazazi kwamba watoto wao watasoma kwenye mazingira mazuri

sasa mbona mnamlaumu mzazi?
Sasa shida ya mzazi tunamlaum kwa sababu yeye hawazi kama hivyo ulivyosema.

Yeye anajua mtoto akisoma hapo anatoboa maisha.

Hujikuta akiingia madeni na kutupiga vibomu ofsini akidhani Mwanaye ni first class
 
Nimeishia ulipoandika hakiangaika
 
Hili ni suala muhimu sana pia inategemea mtoto alisoma shule gan ya EMS OR PRIVATE SEC SCHOOL, kama shule hiyo haikua na extra curricula yeyote ile lets say utengenezaji wa program za kompyuta, lugha za kigeni or n.k basi mzazi ulipoteza tu pesa bure maana kama ni masomo ya kawaida ata shule za sekondari za serikali wanayo hivyo nawasuhi wazazi wanapotafuta shule za private waangalie kitu gani mtoto atapata ambacho hakipo shule za serikali
 
Na mdako.🤣🤣🤣

Sio unaenda kumpa stress Huko bado mdogo ujinga mtupu
Ila mkuu kwa maandishi yako hapa huwa unajinadi sana kuwa u mtu wa TOTOZ, sasa hiyo pesa unayoitumia huko haikuumi? Kama inavyokuuma kuipeleka EMS?
 
Kwani lengo la kusoma si kupata kazi kweli?Suala la ujira kiduchu huja baada ya kuwa na mbadala.
 
Hata kukijua tu Kingereza vizuri ni exposure kubwa sana.
Cambridge International Curriculum nayo ni exposure kubwa sana.
Ah sasa Kiingereza hata kwa Ras Simba si kipo? Hizi EMS wanasoma mtaala wa Cambridge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…