Hizi ajira hazifai kugombewa na watoto waliosoma English Medium Schools[ EMS]

Ila mkuu kwa maandishi yako hapa huwa unajinadi sana kuwa u mtu wa TOTOZ, sasa hiyo pesa unayoitumia huko haikuumi? Kama inavyokuuma kuipeleka EMS?
Kule nna pata value for money kwanza napata starehe halafu pili nyota Kuna watoto WA kike wana nyota Kali Sana mmoja nimesex nae tarehe 31 Dec mwaka jana tarehe 3 nimeingiza vimilioni kadhaa kwenye biashara zangu. Kule Ems ni kutoa tu hela no value for money
 
International schools zote/shule za mtaala wa Cambridge ni EMS ila EMS sio zote ni International.
Kwenye mada hizi wenyewe wanamaanisha hivi
1.EMS ni zile zinazotumia mtaala wa Necta ila kwa Kiingereza.
2.International School ni zile zinatumia mitaala ya nje mfano IST,Braeban etc

Mtu anaesomesha mtoto IST sio sawa na mtu anaesomesha St Muganyizi ambayo ada ni 1,2m na bus la njano la kuzugia likiharibika wanachukua Eicher la Gongolamboto wanamrudisha mwanao nyumbani.
 
futa hii comment mkuu watakucheka sana😂
si lazima kila shule ya kimataifa ifundishe kwa Kiingereza pekee. Kuna shule za kimataifa ambazo hufundisha kwa lugha zingine kama Kifaransa, Kijerumani, Kichina, au lugha nyingine kulingana na mtaala wanaotumia. Jambo muhimu ni kwamba shule hizo hufuata viwango vya kimataifa katika mbinu za kufundisha na masomo.
 
Upeo mkubwa huwezi poteza mamilioni ili uje upate laki 2 ya masimango huu ni upuuzi wa kiwango cha juu
Wengine hizi kazi za laki 2 ni kutengeneza tu cv na ka security ka muda fulani......shida ni kukomalia hio kazi ya laki 2 hadi unastaafu
 
Kwa kuwa EMS tumewaengua kwenye mikopo ya elimu ya juu, usijali, hata huko tunakuja kuwaengua
 
nimekuelewa mkuu, tupe mifano
 
Hivi wasiojulikana wapo na EM ? Kama wapo basi ngoja nilie tu.
Hivi EM akiwa afisa wa Tume ya uchaguzi ana behavi vipi ?
Aisee namaswali mengi mimi mnisamehe tu .
 
nimekuelewa mkuu, tupe mifano
Lycée Français d'Arusha (Arusha, Tanzania)Lugha wanayotumia Kifaransa

Russian International Schools Lugha ya kufundishia: Kirusi​

Russian Embassy School in Tanzania (Dar es Salaam, Tanzania)-kirusi
École Française Arthur Rimbaud (Nairobi, Kenya) wanatumia kifaransa
Deutsche Schule Nairobi (Nairobi, Kenya) wanatumia Kijerumani
Deutsche Schule Pretoria (Pretoria, South Africa) wanatumia pia Kijerumani
 
Shule zote International kwa Tanzania wanafunzi lazima wasome Kingereza na Kingereza ni lugha mojawapo inayoanza kutumika kufundishia katika hatua za awali.
 
nilikuwa nimekariri kiingereza ndo lugha pekee ya kimataifa
 
Shule zote International kwa Tanzania wanafunzi lazima wasome Kingereza na Kingereza ni lugha mojawapo inayoanza kutumika kufundishia katika hatua za awali.
Wasome Kiingereza kama somo au una maanisha nini?
 
Good. Infact watu hao hawaendi kwenye mashirima mazuri sababu ya kusoma shule nzuri. La hasha.

Ni sababu Baba yake ana connection kitambo tu hata asingeenda kusoma hiyo shule bado huyo mtoto maisha anatoboa tu.

Shule inabaki kuwa additive tu
Umeongea jambo la msingi. Hata wale watoto waliofeli kwenye shule zetu na familia iko safi, huendelea na masomo India, Uturuki na China. Wakirejea tu ni mabosi sehemu mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…