PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: 1gb
Wajomba pamoja na DP WORLD
 
Samia ni Rais wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania, kwani ana shindana na nani hadi agawe bicycles? Yuko peke yake, ccm ndio wana piga kampeni, wana jichagua na bado wana toa rushwa, chama tawala miaka 70 madarakani, aibu kubwa sana.
 

Attachments

  • 1750278884958.jpg
    610.6 KB · Views: 24
Nchi hii ni ya hovyo sana, watu hawana aibu hata chembe. Hii ni rushwa iliyopitiliza kabisa!
 
Umesema ukweli sana!
 
Hahaha hukuwasikia TAKUKURU wakisema watakuwa makini kudhibiti RUSHWA wakati wa Uchaguzi?

Ukiona hivyo hiyo siyo Rushwa ni sehemu ya maendeleo ya MamaA.
 

wewe hupigi kura unaulizia mambo ya uchaguzi ya nini
 
 

Attachments

  • 20250618_163320.jpg
    125.6 KB · Views: 24
Kuna maandiko na hotuba nyingi tu za Mwalimu Nyrere kuhusu hali hii inayotukabili sasa hivi. Ni kama alikuwa anatabili yatakayoitokea nchi hii. Lakini sidhani kuwa hata yeye angetegemea iwe haraka kiasi hiki.

Hivi vizazi vilivyopo sasa hivi bado vinazo kumbukumbu ya mafunzo hayo; ni kiasi tu cha kuwakumbusha wananchi kwa kuwafikishia mafunzo hayo sasa hivi huko waliko nchi nzima.

Mbaya zaidi ni kwa hawa wapumbavu kutumia chama kilekile alichokiasisi kufanya uchafu wa namna hii!
 
Matunda ya kuwazidi kiuchumi Marekani na Ulaya hayo,huko Dar mmeandaliwa Boda Boda na Vitz za bure.
 
Kuna jamaa mmoja Msukuma, Last KING Ontuzu alianzisha Uzi humu akilalamika kuwa wasukuma wanataniwa na kudharauliwa sana,sasa aje hapa aone sababu za kudharaulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…