PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
View attachment 3375357

Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?

Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?

Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.

Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Rushwa/takrima/hongo/upuuzi/ujingaujinga/uzumbukuku.
 
Hizi ni mbadala wa kanga na kofia

Malengo ni yale yale, kuvuna akili za watu wawapigie kura
Target maeneo duni ambayo hayana elimu
 
View attachment 3375357

Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?

Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?

Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.

Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Hivi mpaka leo kuna mtu anayeendesha baiskeli? Kuna vyama hawana akili
 
Kuna jamaa mmoja Msukuma, Last KING Ontuzu alianzisha Uzi humu akilalamika kuwa wasukuma wanataniwa na kudharauliwa sana,sasa aje hapa aone sababu za kudharaulika.
Hili ni jambo linatendeka nchi nzima, kuna waluguru huko morogoro wanapewa T-shirt na Khanga, Iringa kule walikuwa wanapewa viberiti, kuna wengine wanapewa pombe za kienyeji tu etc. CCM wame categorise kila mtu na dau lake
 
Kila kitu wanacho lkn hawana uhakika wa kushinda that is why baiskeli zinatolewa, wameamua kwenda na wakati kwamba suala la tshirt,kofia na kanga vimezoeleka kwa hiyo utafiti umefanyika kwa katumia SWOT system wakabaini kwamba opportunity iliyopo ni baiskeli na ikawa hivyo kabla hata ya kampeni kuanza, dola ya marekeni inafanya kazi, sio dola ya tz msije mkanihoji
 
jamani mbona baiskeli zenyewe zimepitwa na wakati, falsafa ya awamu hii si wamesema kazi na utu, mbona nimeona kazi iendelee, au ilikua zitoke 2021? Ngoja nivae miwani nisome tena
 
Attachments

  • BAISKELI.jpg
    BAISKELI.jpg
    348.6 KB · Views: 20
Kitu ambacho sikiwezi katika maisha yangu ni kuwa mnafiki,
Naumia sana tena sana mama yetu anavyodanganywa, naumia sana tena sana mama anavyoingizwa town na machawa. Sijui wamemloga, sijui ni madawa hata sielewi. yaani hadi wanaomwambia ukweli amegeuka na kuwaona ndio maadui zake, Mungu wa mbinguni weka mkono wako bibi afunguke aone anavyopigwa ndani ya nchi yake iliyojaa maziwa matamu na yanabadilika kuwa machungu yasiyotoa samli.
 
Hizo zimenunuliwa kutoka katika pesa za ruzuku za Chama Cha CCM

CHADEMA ruzuku zao walikuwa wananunu Toyota Hilux na nyingine walikuwa wanafanya nauli za kuenda Ubeligiji na familia zao
 
Kama Mgombea Urais wa chama chao anafanya hivi hadharani je Takukuru watakuwa na aibu ya kuwakamata wagombea ubunge na na udiwani watakaotoa rushwa kwenye kura za ndani za maoni?
Hawana aibu wale, watawakamata lakini sio wa CCM
 
jamani mbona baiskeli zenyewe zimepitwa na wakati, falsafa ya awamu hii si wamesema kazi na utu, mbona nimeona kazi iendelee, au ilikua zitoke 2021? Ngoja nivae miwani nisome tena
Kujiaibisha kuturudisha enzi za mataarshi na baskeli
 
View attachment 3375357

Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?

Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?

Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.

Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Watanzania si Wakenya, tumekuwa wajinga kiasi kwamba wabunge na viongozi wa serikali wanacheza na akili zetu huku sisi tukifurahia. Usikute hizi baiskeli ni za mbunge ambaye hajaleta maendeleo yeyote jimboni mwake toka awe mbunge, leo kibarua kinaota nyasi anawadanganya wananchi wake kwa baiskeli, imagine, baiskeli kweli? Huyu lazima atakuwa mbunge wa CCM tu, sioni kiongozi yeyote wa maana anafanya ujinga kama huu.
 
Just a coincidence. Hu ni wakati wa Kiangazi baada ya msimu wa kilimo. Wewe kweni ni wapi kwani tuseme?
 
View attachment 3375357

Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?

Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?

Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.

Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
 
View attachment 3375357

Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?

Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?

Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.

Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
T107T
 
Mkopo huo wa Sir 100
 
Mnashangaa nini? Mbona baba zenu na wajomba zenu huko vijijini wanachukua na wanafurahia kweli kweli. Mama hana deni​
 
Back
Top Bottom