PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Karne ya 21 mtu mweusi bado anapewa Baiskeli ya kutumia nishati ya ki mekanika ili ampatie mtu miaka mi 5 ya hatma ya kuamua muenendo wa maendeleo yake????!!! Mtu mweusi bado haja qualify kuingia kwenye human race, hata kama ni mimi ndio ningeumbwa mzungu iko wazi kabisa ningewadharau watu weusi na kuwaita nyani
Inasikitisha sana.
 
Hapo sijaelewa watakuwa wanapewa kama namna ya zile pikipiki zao kwamba unaitumia japo inaendelea kutambulika kama mali ya chama, au wanapewa mazima
 
View attachment 3375357

Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?

Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?

Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.

Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Hizi zinatoka kwa waarabu waliopewa raslimali za Tanganyika na Mzanzibari
 
View attachment 3375357

Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?

Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?

Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.

Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Nasikia hizi ni za mabalozi wa ccm kila kata sio za kugawa kwa wapiga kura
 
View attachment 3375357

Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?

Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?

Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.

Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.

Hizi wanapelekewa wasukuma.. wa Kisesa, si mbunge wao kaomba juzi :MonkiFlip:
 
Matunda ya tuliowauzia vipande vya inji yetu. Hapo kila balozi wa nyumba kumi ana foneksi yake ya kijani kwa kulipia 10 tu.
Tulianza viete SSH L300, Kinglion SSH 125, lake gas SSH 6Kg, na sasa foneksi SSH 250. Wazee wa totoz mkae kwa kutulia ndomu zenu chapa SHS 600 BALTAZAR ziko kwenye makontena tayar kushushwa.
Yajayo yanasikitisha. Maboyo alituangusha sana.
Kuna sehemu hapa Tz kumiliki baiskeli ni kama kumiliki V8

Ila kwenye 21century kumrubuni mtu kwa baiskeli ya kichina Ina onyesha ni UMASKINI ulio topea.

At least Sasa ☺️ 😁 ngoja niishie hapa kwa Leo.

Kwa sasa safarini kijijini MPUMBWI.
 
Back
Top Bottom