PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
FB_IMG_17502760194195434.jpg

Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?

Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?

Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.

Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
 
View attachment 3375357

Hivi zinagawiwa kwa Utaratibu upi?
 
Msajili wa Vyama yupo kimya na hasemi kitu.
 
Hivi zinagawiwa kwa Utaratibu upi?
Unatamani baiskeli alafu mwenzio ananunua magari ya kifahari na majumba, huku huduma za afya na za kijamii ni haba na umaskini umewajaa, tunataka mabadiliko ili huduma na gharama za maisha zishuke mimi nakwambia utapata kupumua utaweza hata kununua gari lako kuliko hiki kibaiskeli.
 
Karne ya 21 mtu mweusi bado anapewa Baiskeli ya kutumia nishati ya ki mekanika ili ampatie mtu miaka mi 5 ya hatma ya kuamua muenendo wa maendeleo yake????!!! Mtu mweusi bado haja qualify kuingia kwenye human race, hata kama ni mimi ndio ningeumbwa mzungu iko wazi kabisa ningewadharau watu weusi na kuwaita nyani
 
Unatamani baiskeli alafu mwenzio ananunua magari ya kifahari na majumba, huku huduma za afya na za kijamii ni haba na umaskini umewajaa, tunataka mabadiliko ili huduma na gharama za maisha zishuke mimi nakwambia utapata kupumua utaweza hata kununua gari lako kuliko hiki kibaiskeli.
Nauliza anapewa kila mwananchi au selected few ?
Zimetoka wapi ?
 
Matunda ya tuliowauzia vipande vya inji yetu. Hapo kila balozi wa nyumba kumi ana foneksi yake ya kijani kwa kulipia 10 tu.
Tulianza viete SSH L300, Kinglion SSH 125, lake gas SSH 6Kg, na sasa foneksi SSH 250. Wazee wa totoz mkae kwa kutulia ndomu zenu chapa SHS 600 BALTAZAR ziko kwenye makontena tayar kushushwa.
Yajayo yanasikitisha. Maboyo alituangusha sana.
 
Back
Top Bottom