PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inasikitisha sana.
 
Hapo sijaelewa watakuwa wanapewa kama namna ya zile pikipiki zao kwamba unaitumia japo inaendelea kutambulika kama mali ya chama, au wanapewa mazima
 
Hizi zinatoka kwa waarabu waliopewa raslimali za Tanganyika na Mzanzibari
 
Nasikia hizi ni za mabalozi wa ccm kila kata sio za kugawa kwa wapiga kura
 

Hizi wanapelekewa wasukuma.. wa Kisesa, si mbunge wao kaomba juzi
 
Kuna sehemu hapa Tz kumiliki baiskeli ni kama kumiliki V8

Ila kwenye 21century kumrubuni mtu kwa baiskeli ya kichina Ina onyesha ni UMASKINI ulio topea.

At least Sasa ☺️ 😁 ngoja niishie hapa kwa Leo.

Kwa sasa safarini kijijini MPUMBWI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…