Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Rushwa/takrima/hongo/upuuzi/ujingaujinga/uzumbukuku.View attachment 3375357
Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?
Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?
Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.
Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Hizi ni mbadala wa kanga na kofiaView attachment 3375357
Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?
Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?
Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.
Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Hivi mpaka leo kuna mtu anayeendesha baiskeli? Kuna vyama hawana akiliView attachment 3375357
Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?
Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?
Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.
Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Wanapewa mabalozi wa nyumba 10 wote wa ccm nchi nzima ili ziweze kuwaraisishia kwenye majukumu yao ya kila sikuHiyo ni rushwa hakuna neno mbadala hapo.
Hili ni jambo linatendeka nchi nzima, kuna waluguru huko morogoro wanapewa T-shirt na Khanga, Iringa kule walikuwa wanapewa viberiti, kuna wengine wanapewa pombe za kienyeji tu etc. CCM wame categorise kila mtu na dau lakeKuna jamaa mmoja Msukuma, Last KING Ontuzu alianzisha Uzi humu akilalamika kuwa wasukuma wanataniwa na kudharauliwa sana,sasa aje hapa aone sababu za kudharaulika.
Hawana aibu wale, watawakamata lakini sio wa CCMKama Mgombea Urais wa chama chao anafanya hivi hadharani je Takukuru watakuwa na aibu ya kuwakamata wagombea ubunge na na udiwani watakaotoa rushwa kwenye kura za ndani za maoni?
Kujiaibisha kuturudisha enzi za mataarshi na baskelijamani mbona baiskeli zenyewe zimepitwa na wakati, falsafa ya awamu hii si wamesema kazi na utu, mbona nimeona kazi iendelee, au ilikua zitoke 2021? Ngoja nivae miwani nisome tena
Watanzania si Wakenya, tumekuwa wajinga kiasi kwamba wabunge na viongozi wa serikali wanacheza na akili zetu huku sisi tukifurahia. Usikute hizi baiskeli ni za mbunge ambaye hajaleta maendeleo yeyote jimboni mwake toka awe mbunge, leo kibarua kinaota nyasi anawadanganya wananchi wake kwa baiskeli, imagine, baiskeli kweli? Huyu lazima atakuwa mbunge wa CCM tu, sioni kiongozi yeyote wa maana anafanya ujinga kama huu.View attachment 3375357
Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?
Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?
Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.
Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Huyo anasubiri maelekezo maalumu ya kuifungia Chadema kufanya shughuli za kisiasaMsajili wa Vyama yupo kimya na hasemi kitu.
View attachment 3375357
Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?
Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?
Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.
Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
T107TView attachment 3375357

Mkopo huo wa Sir 100View attachment 3375357