Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

Kuna jamaa wanajiita Kelaf niliwaona exhibition pale kariakoo Wana Brenda zao inasaga mpaka mahindi wanauza 150,000. Sijui walizozitumia labda walete mrejesho.
Dah mkuu hizi mother nature tongue twisters
 
Ya kutumia nyumbani ila kwa biashara tafuta oga ata mtumba
 
Usijaribu. ninazo zote 2 na zimeshakufa na nimezitumia kidogo saana
pedzai wrong usage.
hivi vifaa vya umeme vina manual instructions how to use it.

kuna wanaotumia hizo mwaka wa pili sasa,tena kwenye jiko la hoteli kwenye kazi nyingi na ngumu.ukifata masharti ya matumizi vinadumu muda mrefu.
 
Mchina hazalishi kitu fake hata siku moja.

Ila anazalisha bidhaa zenye ubora kulingana na soko husika.

Bidhaa inaweza ikawa ni moja na inatengenezwa na kiwanda kimoja ila kwakua masoko yake ni tofauti lets say Tanzania na Turkiye basi ubora wa bidhaa hizo kwa namna yoyote lazima uwe tofauti.

Ukitaka kuamini hilo nenda kachukue bidhaa za kichina from the factory na utakutana nazo za sampuli nyingi.

Mkuu unafahamu nini unapoambiwa fake?

China ndio production kuu ya vitu fake duniani.
 
sio kweli zipo bidhaa nyingi za China ni og.huyu baba China hulka yake huwa haachi hela.
Na ndio maana nikasema mwanzoni ya kuwa china si mzalishaji wa bidhaa fake bali anazalisha bidhaa zenye ubora tofauti tofauti kulingana na soko la bidhaa hiyo.
Mfano ubora wa smartwatch aliyoitengeneza kuiuza uturuki si sawa na ubora wa smartwatch aliyoitengeneza kuiuza Tanzania.
 
kabisa kabisa.huku nchi za Dunia ya tatu ni masikini hatutoweza kumudu og product.
 
kabisa kabisa.huku nchi za Dunia ya tatu ni masikini hatutoweza kumudu og product.
Tunaweza kumudu endapo option iliopo ni kununua OG tu. Mbona zamani watu walinunua Japanese na UK products ambazo mostly zilikuwa genuine tu. Kuna watu walinunua appliances za National, Sony, Kenwood, JVC, Hitachi, Yamaha, Aiwa na kampuni nyingine nyingi.
 
Back
Top Bottom