Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

Kuna wakati tu tulikuwa tunaleta
Vitu kama hivyo brand za kijerumani na kiddish
Ma grunding ma gram nk
Used lakini ziko high quality
Kwenye kuuza ilikuwa mtiti
Wabongo walaliaji sana watu wa kulia sana

Ova
Awajui vizuri gharama bongo Lillian wengi...kizuri gharama mpwa ...biashara moja nzuri sema ngumu...
 
Original mchezo nini! Na huyu mchina alivyozagaa Tanzania.

Nenda shoppers ndio utapata OG.
 
Mchina hazalishi kitu fake hata siku moja.

Ila anazalisha bidhaa zenye ubora kulingana na soko husika.

Bidhaa inaweza ikawa ni moja na inatengenezwa na kiwanda kimoja ila kwakua masoko yake ni tofauti lets say Tanzania na Turkiye basi ubora wa bidhaa hizo kwa namna yoyote lazima uwe tofauti.

Ukitaka kuamini hilo nenda kachukue bidhaa za kichina from the factory na utakutana nazo za sampuli nyingi.
sio kwenye factory tu nenda kachukue bidhaa ya kicha iliyoko Dubai
 
Tunaweza kumudu endapo option iliopo ni kununua OG tu. Mbona zamani watu walinunua Japanese na UK products ambazo mostly zilikuwa genuine tu. Kuna watu walinunua appliances za National, Sony, Kenwood, JVC, Hitachi, Yamaha, Aiwa na kampuni nyingine nyingi.
Good boy umeandika sense hapa.
Huna hela kununua OG kausha hakuna kununua feki.
 
U
Ulitatuaje Mkuu nilinunua Silver crest mwaka wa 3 Huu iko vizur sema jug limepasuka Kwa chini nkiwa nasaga linavujisha
Fungua chini kwenye kitako kwenye hizo rubber zikaze vizuri,chanzo cha tatizo nilisahau Kijiko wakati na blend,,nawe pia bila Shaka ulisaga kitu kigumu au rubber zimelegea
 
Fake maana yake sio halisi.

Kwa mantiki yako kama china ndio mzalishaji mkuu wa fake basi all made in china ni fake products.

Kabisa, ni kitu kilichootengenezwa na asiekuwa mwenyewe bila ya kibali. au kisicho na identity. China ndio wanaongoza kukopy bidhaa za makampuni ya bidhaa karibu yote duniani.
 
Nina KENWOOD nne Blender na Pressure cooker vyote kadi zimekufa.Naweza kujua repair center ya hawa jamaa kwa hapa bongo.
 
Tunaweza kumudu endapo option iliopo ni kununua OG tu. Mbona zamani watu walinunua Japanese na UK products ambazo mostly zilikuwa genuine tu. Kuna watu walinunua appliances za National, Sony, Kenwood, JVC, Hitachi, Yamaha, Aiwa na kampuni nyingine nyingi.
hali ya maisha ya zamani na sasa ni tofauti.
thamani ya pesa ya tz dhidi ya dolar kipindi icho ni tofauti na sasa.

tz magari mengi ya mtumba sababu ni umasikini.

ukienda europe kuleta bidhaa og,na mimi nikienda China kuleta lonya,mimi wa China ntapiga routes nyingi na faida kubwa kuliko wewe.

sababu mimi ntauzia masikini ambao ni wengi sababu bei ni chini,wewe utauzia kina Davis Mosha ambao ni wachache.
 
Kwahio zamani watu walikuwa na pesa sana kuliko sasa?
 
Back
Top Bottom