Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

Nimetoka kununua hapa, halafu nakutana na huu uzi
Nalia mimi🥹
Jikaze mdogo wangu, wanasema unaweza tumia tumia hata 6 months si mbaya.

Nilinunua 2019 shoppers, ile full ina majagi na juicer, 270k tu hadi leo ngoma bado inadunda bila wasiwasi. na brand yake wala si maarufu kama ni mchina basi ni ile quality ya kwanza.

Kuna vitu nchi hii ili usiteseke inabidi ujichange change kwanza ndio upate walau kizuri.
 
Jikaze mdogo wangu, wanasema unaweza tumia tumia hata 6 months si mbaya.

Nilinunua 2019 shoppers, ile fully ina majagi na juice, 270k tu hadi leo ngoma bado inadunda bila wasiwasi. na brand yake wala si maarufu kama ni mchina basi ni ile quality ya kwanza.

Uzuri kanipa risiti na namba ya simu warranty 1 year
 
Mbona nimeagiza oven Kenwood Sasa nazo vipi maana bei za sikuhiz mmh 😃
 
Jikaze mdogo wangu, wanasema unaweza tumia tumia hata 6 months si mbaya.

Nilinunua 2019 shoppers, ile fully ina majagi na juice, 270k tu hadi leo ngoma bado inadunda bila wasiwasi. na brand yake wala si maarufu kama ni mchina basi ni ile quality ya kwanza.

Kuna vitu nchi hii ili usiteseke inabidi ujichange change kwanza ndio upate walau kizuri.
Ila watu wengi uelewa ni mdogo Sana wa vitu na uchumi pia

Og ina raha bana hadi muungurumo og mchina fyeeeee nyingi sana🤣🤣🤣
 
Uzuri kanipa risiti na namba ya simu warranty 1 year
Ila usiogope, mi sijanunua huwa nasoma feedback za wateja huko mjini insta (au labda ni vita wafanyabiashara na wenzao)

Utupe mrejesho auntie.
 
Tujipe moyo, kitu kinadumu kulingana na jinsi unavyotumia😂
Ni kujipa moyo mm blender natumia strongertech niliogopa Hilo Kenwood 😃😃😃
Nimeshawishika na oven nilisikia ailyons hazidumu
 
huhitaji kuwa rocket scientist kujua hiyo ni fake, kwanza imeandikwa make in UK
pili catalogs za appliances zao zote zipo hapa
kama haipo hapo, magumashi hiyo
 
Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je zinadumu kama tuijuavyo Kenwood? Make nimesikia mtu anasema Zina shida ya kuvuja lile jagi lake

View attachment 2938284
Nyingi ni copy original yake si ndogo
 
Ni kujipa moyo mm blender natumia strongertech niliogopa Hilo Kenwood 😃😃😃
Nimeshawishika na oven nilisikia ailyons hazidumu
Kama huna haraka chungulia maduka yenye og usiogope kuuliza being then tulia changa kibubu ukivuta unasahau najua parefu ila unaenjoy Manisha asee
 
Back
Top Bottom