Nimetoka kununua hapa, halafu nakutana na huu uziOriginal mchezo nini! Na huyu mchina alivyozagaa Tanzania.
Nenda shoppers ndio utapata OG.
Jikaze mdogo wangu, wanasema unaweza tumia tumia hata 6 months si mbaya.Nimetoka kununua hapa, halafu nakutana na huu uzi
Nalia mimiπ₯Ή
Uzuri kanipa risiti na namba ya simu warranty 1 yearJikaze mdogo wangu, wanasema unaweza tumia tumia hata 6 months si mbaya.
Nilinunua 2019 shoppers, ile fully ina majagi na juice, 270k tu hadi leo ngoma bado inadunda bila wasiwasi. na brand yake wala si maarufu kama ni mchina basi ni ile quality ya kwanza.
Kuna vitu nchi hii ili usiteseke inabidi ujichange change kwanza ndio upate walau kizuri.
Mbona nimeagiza oven Kenwood Sasa nazo vipi maana bei za sikuhiz mmh πJikaze mdogo wangu, wanasema unaweza tumia tumia hata 6 months si mbaya.
Nilinunua 2019 shoppers, ile fully ina majagi na juice, 270k tu hadi leo ngoma bado inadunda bila wasiwasi. na brand yake wala si maarufu kama ni mchina basi ni ile quality ya kwanza.
Kuna vitu nchi hii ili usiteseke inabidi ujichange change kwanza ndio upate walau kizuri.
Tujipe moyo, kitu kinadumu kulingana na jinsi unavyotumiaπMbona nimeagiza oven Kenwood Sasa nazo vipi maana bei za sikuhiz mmh π
Mamdogo itabidi utuletee mrejeshoβ¦ ila oven hawazilalamikii kama ilivyo kwa blender.Mbona nimeagiza oven Kenwood Sasa nazo vipi maana bei za sikuhiz mmh π
Afadhali maana nilianza kubanwa pumzi loohππMamdogo itabidi utuletee mrejeshoβ¦ ila oven hawazilalamikii kama ilivyo kwa blender.
Ila watu wengi uelewa ni mdogo Sana wa vitu na uchumi piaJikaze mdogo wangu, wanasema unaweza tumia tumia hata 6 months si mbaya.
Nilinunua 2019 shoppers, ile fully ina majagi na juice, 270k tu hadi leo ngoma bado inadunda bila wasiwasi. na brand yake wala si maarufu kama ni mchina basi ni ile quality ya kwanza.
Kuna vitu nchi hii ili usiteseke inabidi ujichange change kwanza ndio upate walau kizuri.
Ila usiogope, mi sijanunua huwa nasoma feedback za wateja huko mjini insta (au labda ni vita wafanyabiashara na wenzao)Uzuri kanipa risiti na namba ya simu warranty 1 year
Ni kujipa moyo mm blender natumia strongertech niliogopa Hilo Kenwood πππTujipe moyo, kitu kinadumu kulingana na jinsi unavyotumiaπ
Nyingi ni copy original yake si ndogoWakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je zinadumu kama tuijuavyo Kenwood? Make nimesikia mtu anasema Zina shida ya kuvuja lile jagi lake
View attachment 2938284
Inakuwaje copy Yan mashine sio imara auNyingi ni copy original yake si ndogo
Unapata hata kwa 85 π120k to 150k.
Kama huna haraka chungulia maduka yenye og usiogope kuuliza being then tulia changa kibubu ukivuta unasahau najua parefu ila unaenjoy Manisha aseeNi kujipa moyo mm blender natumia strongertech niliogopa Hilo Kenwood πππ
Nimeshawishika na oven nilisikia ailyons hazidumu
Mm nilikuwa kariakoo elf 70 nikasema hihiπππUnapata hata kwa 85 π
Nilinunua moja mwaka juzi baada ya wiki 1 tu nikasikia bearings zinapasuka, nibadili bearings na baada ya siku 3 brash zikaanza kuchoma moto πππMm nilikuwa kariakoo elf 70 nikasema hihiπππ
Hata blenda ya kawaida tu inasaga mahindiKuna jamaa wanajiita Kelaf niliwaona exhibition pale kariakoo Wana Brenda zao inasaga mpaka mahindi wanauza 150,000. Sijui walizozitumia labda walete mrejesho.